Usalama wao, wanasakwa wafichwe kwa hio wote wameenda kujificha.. baba kajiweka waziwazi wamepita nae, bado watotoYaani watoto wa marehemu watatu hawajaja kumzika Baba Yao? Shida ni nauli au nini ?
Waacheni watu waomboleze wanavyojua.Yaani watoto wa marehemu watatu hawajaja kumzika Baba Yao? Shida ni nauli au nini ?
Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.
Nyie kama si watu wa familia mambo ya watu na familia zao yanawahusu nini?
Wakija kuzika, wasipokuja kuzika, ni wao. Ndiyo maamuzi yao. Hamjui haya familia imekubaliana nini.
Kwa nini mnataka kuufanya msiba wa watu kuwa siasa?
Unataka warudi kwenye hii shithole kufanya nini ?Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------
Wengine ni kama hamnazo. Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!
Wait, what ?? Last words to who ? To waombolezaji au to baba yako??? You didn't talk to him before he died ??
-------------------
And then enter CHADEMA
Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Hol up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime in Kenya ?
Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.
Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!
The whole thing was a clown show
Msiba wa Manji kafariki na kuzikwa Marekani watu wamekasirika.
Mbaya zaidi ya familia yake yanamshinda....chuki za watanzania Masikini kwa wenye nacho ni kubwa sanamsiba wa sarungi waachie kina sarungi, wakija au wasije wewe Ina kusaidia nini?
yaani mpaka una Anza waita hamnazo means una stress kali za kimaisha.
Yaani kuna Watanzania ni majuha kupita hata ujuha wenyewe.Iacheni hii familia iomboleze inavyoona sawa.
Nyie kama si watu wa familia mambo ya watu na familia zao yanawahusu nini?
Wakija kuzika, wasipokuja kuzika, ni wao. Ndiyo maamuzi yao. Hamjui haya familia imekubaliana nini.
Kwa nini mnataka kuufanya msiba wa watu kuwa siasa?
Mkuu,Unakosaje kumzika mzee wako ?! Nakumbuka uliwahi sema wewe binafsi mzee wako hakosi msiba bongo ! ,, Alafu anakuja Maria anadai sababu za kiusalama serikali ilishawahi sema inamtafuta Maria wamkamate ?! She is selfish ametumia msiba wa mzee kujinufaisha binafsi ..
Tanzania mtu anaweza kuomba msamaha bila kosa kwa sababu ya kuondoa hasira za watu na ku please jamii tu. Just to keep the peace. Kwa hiyo mtoto wa Manji kuomba msamaha haimaanishi kwamba wao walifanya makosa.Well, msiba wa Manji kijana wake alikuja kuomba msamaha.
Alituletea shughuli ya hitma na dua. Mwili uko wapi ? Kauzika Palm Beach, Florida. Preposterous procession. Kwa nini hukumaliza kila kitu huko huko? Hatujaja kula ubwabwa hapa.
Jamii ilimshukia kama lori la matofali. Akaja kujieleza baba alitaka kuzikwa na babu , ndio sasa nimejua baba aligusa "watu ngapi" na aliacha alama gani. Kiswahili hajui, mhamiaji mwingine aliyevurugwa na utambulisho.
Watanzania waliofahamu alama aliyoacha, na walioshukuru kwa "watu ngapi" aliowagusa, walikuja na President Kikwete kwenye hitma, business leaders and national clergy, no less Head Mufti of the country.
Miami Beach, Florida alizikwa na Mwenyekiti wa Chama cha Diaspora at best, not remotely the dignified funeral he deserved.
End of the day family profusely apologized and commiserated and we moved past the mess.
Traditionists and other observers could only ascribe it to poor understanding of social sensibilities, mores and customs of the people you lived with.
Ni kama vile watu maisha yao yako so boring wanafanya misiba ya wenzao kuwa kama reality TV show.Yaani kuna Watanzania ni majuha kupita hata ujuha wenyewe.
Hakika ni hivyo itakuwa.Ni kama vile watu maisha yao yako so boring wanafanya misiba ya wenzao kuwa kama reality TV show.
Unakosaje kumzika mzee wako ?!
Hao "Watoto" wana damu na roho ya "Kirusi". Na hao jamaa, wanafahamika kwa "UBAGUZI"! Wapo upande wa mama tu. Mama 'angevuta', hata 'mdogo wake Putin' angekuja kuzika, kama sio kurudisha mwili kwenye asili, yaani "USSR"ya zamani!Mkuu,
Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake yaweje. Hiyo ni haki ya kibinadamu. Ni sehemu ya haki za kikatiba pia.
Mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake US. Kasikia kuna msiba wa familia. Karudi Bongo, kazika, kakaa a few weeks, juzi karudi tena kwenye shughuli zake US.
Maria na ndugu zake wana taratibu zao, kwa sababu zao, ambazo hawashurutishwi hata kutueleza. Hayo ni mambo ya familia yao ambayo wewe mtu baki hutakiwi kuyaingilia wala kuyahoji.
Kwa nini wewe unajiona una haki ya kuipangia familia ya Sarungi jinsi ya kumzika mzee wao?
Kwa hiyo maria analaumu serikali wakati yeye hakuja na hakuna popo5e tuliposikia ana wito wa kukamatwaNdio. Wameomba tumzike.
Maria kaichana serikali kutotuma ujumbe mzito.
Hukuja kuzika babaako, unalaumuje wengine kutokuja ?
Na hiyo ni haki yao.Hao "Watoto" wana damu na roho ya "Kirusi". Na hao jamaa, wanafahamika kwa "UBAGUZI"! Wapo upande wa mama tu. Mama 'angevuta', hata 'mdogo wake Putin' angekuja kuzika, kama sio kurudisha mwili kwenye asili, yaani "USSR"ya zamani!
Basi wafuasi wake .. wanaharakati wenzake kule mjini X wasitupe lawama kwanini Mama samia hajatoa salam za pole ..Mkuu,
Kila mtu ana uhuru wa kuamua maisha yake yaweje. Hiyo ni haki ya kibinadamu. Ni sehemu ya haki za kikatiba pia.
Mzee wangu alikuwa anafanya shughuli zake US. Kasikia kuna msiba wa familia. Karudi Bongo, kazika, kakaa a few weeks, juzi karudi tena kwenye shughuli zake US.
Maria na ndugu zake wana taratibu zao, kwa sababu zao, ambazo hawashurutishwi hata kutueleza. Hayo ni mambo ya familia yao ambayo wewe mtu baki hutakiwi kuyaingilia wala kuyahoji.
Kwa nini wewe unajiona una haki ya kuipangia familia ya Sarungi jinsi ya kumzika mzee wao?