Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

Ki bongo kuhudhuria misiba ni sifa kubwa sana, ukiwa mhudhuriaji misiba mara kwa mara utasifiwa sana na kusemwa kama mfano wa kuigwa kwa utu na ushirikiano katika jamii.
 
Mabaki ya Ujamaa hayo. Collectivism everywhere.

Mpaka kwenye mambo ya faragha ya familia jamii inataka kuwapangia jinsi ya kumzika mzee wao.

People do not even know their own thinking, they just conform to societal expectations, even in a fast changing world when these expectations may no longer hold valid.
 
Tungekuwa tunafuatilia rasilimali za nchi yetu kama tunavyofuatilia maisha ya watu..., Amini nakwambia, hata senti moja isingepotea bure...

Ila ndio hivyo tena (our energy and resources are misplaced); Anyway to each their own...
Inasikitisha sana.
 
Ki bongo kuhudhuria misiba ni sifa kubwa sana, ukiwa mhudhuriaji misiba mara kwa mara utasifiwa sana na kusemwa kama mfano wa kuigwa kwa utu na ushirikiano katika jamii.
Najua.

Mshua wangu ni never miss misibani. Alikuwa hapa US kwenye shughuli zake, kasikia kuna msiba wa familia Tanzania. Kijana mdogo tu wa familia kafariki, my cousin. Mshua kapanda ndege kurudi Tanzania, kazika, kakaa a few weeks. Na sasa kapanda ndege tena karudi US kuendelea na shughuli zake.

Alirudi Tanzania specifically kuzika msiba ambao angepiga simu na kutoa rambirambi kutoka US kila mtu angemuelewa, lakini yeye akasema lazima apande ndege na kurudi kuzika, halafu akimaliza kuzika anapanda ndege tena na kurudi US.

Mpaka sasa namuangaliaaaa.
 
What frustrates me is that, this is just basic common sense!

Ni jambo ambalo halihitaji maelezo yote hayo.

Some people…..
 
Mshua wako ana akili sana bahati mbaya mwanaye umeshindwa kupata hata 25% ya mshua.

Ila una muda wa kujifunza kitu kutoka kwa baba yako
 
Binadamu ni social animals wanatakiwa interactions, nchi waliokataa social interactions sasa hivi wanaunda wizara na kuteua waziri wa kushughulikia upweke na msongo wa mawazo
 
What frustrates me is that, this is just basic common sense!

Ni jambo ambalo halihitaji maelezo yote hayo.

Some people…..
Nyie diaspora hamna values za Kiafrika, tayari mumevurugwa na maisha ya kishenzi mnayoishi huko.

Tunapojadili hoja hii nyinyi haiwahusu, kaeni kimya tu na Kiranga wako
 
Binadamu ni social animals wanatakiwa interactions, nchi waliokataa social interactions sasa hivi wanaunda wizara na kuteua waziri wa kushughulikia upweke na msongo wa mawazo
Mfano nchi zipi wamekataa social interactions na ambapo watu hawazikani?
 
Kutokuwepo kwao naimani hawajabadilisha kitu kwa lugha nyepesi wapo kama biringanya kwenye mchuzi likipatikana sawa likikosekana sawa halina ulazima
 
Anonymous huwa inawapa watu ujasiri wa ajabu na hovyo
 
Anonymous huwa inawapa watu ujasiri wa ajabu na hovyo
Ni haki yao kuwa Anonymous ila hoja dhaifu ni dhaifu tu ikiwa mtu kazitoa kwa jina lake au Anonymous.

Tanzania dhana ya uhuru wa mtu binafsi ni ngumu sana kueleweka.

Na hii ni tabia moja ya jamii masikini zenye elimu ndogo.

Ndiyo maana familia zilizoelimika na kuupita umasikini katika jamii masikini zinapata tabu sana kueleweka.
 
Nyie diaspora hamna values za Kiafrika, tayari mumevurugwa na maisha ya kishenzi mnayoishi huko.

Tunapojadili hoja hii nyinyi haiwahusu, kaeni kimya tu na Kiranga wako
Values za Kiafrika ndo zikoje hizo? Hizo values zipo Afrika nzima, kuanzia N’Djamena mpaka Maseru?
 
Heche kusema sana muda mwingine unatema mashudu!
 
Ulitakwa ukamzike Sarungi?

Watoto wake walipaswa.

Watatu kati ya wane hawakuja.

Serikali ikasema what the heck !

Send out Chalamila and Ridhiwani.

Sasa mnatuambia ilikuwa private funeral. Boatloads of milions received from mourners, private funeral unaweka daftari la ubani na rambi rambi ?

Maria umezingua, baba yako anabiringika kaburini.
 
Wazee wasio na watoto huwa wanazikwa na nani?
 
Values za Kiafrika ndo zikoje hizo? Hizo values zipo Afrika nzima, kuanzia N’Djamena mpaka Maseru?
Hiyo hoja ya "values za Kiafrika", apart from lacking authenticity, ni argument from tradition logical fallacy.

Kama kitu ni kizuri, kina mantiki, kinatakiwa kutetewa kwa uzuri wake, kwa mantiki. Bila kutumia hoja ya "values za Kiafrika".

Si kwa hoja ya "values za Kiafrika".

Kwa sababu, hata katika hizo values zinazoitwa za Kiafrika, nyingine zipo mbaya tunataka kuzibadilisha.

So kitu kuwa "values za kiafrika" does not necessarily mean its a good thing.

It's just saying "we want to do it this way, because that is what we have always been doing". Well, we have been doing FGM too, should we always continue to do tgat because we have been doing it in the oast?

That is not a very logically convincing reason for doing something, especially in this world which prizes innovation..
 
Kwani wakati ukiianda mada Tindikali ilikuwaje?
 
Aaah!, mtu akishakufa ndo basi tena. Maneno maneno mengi yanabaki kama umbeya tu, tena msiba mkizika watu wawili watatu unakuwa mzuri sana hauna mambo mengi ni kuzika mwili na kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…