Tanzania sio shit hole country ndugu tuna mapungufu tu na yanatokana na watendaji wabovu lakini nchi kama nchi very beautiful country in the worldUnataka warudi kwenye hii shithole kufanya nini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania sio shit hole country ndugu tuna mapungufu tu na yanatokana na watendaji wabovu lakini nchi kama nchi very beautiful country in the worldUnataka warudi kwenye hii shithole kufanya nini ?
Ndiyo maana wenzetu utasikia wanasema hivii:Aaah!, mtu akishakufa ndo basi tena. Maneno maneno mengi yanabaki kama umbeya tu, tena msiba mkizika watu wawili watatu unakuwa mzuri sana hauna mambo mengi ni kuzika mwili na kuondoka.
Mchuzi wenye biring'anya na usio na biring'anya ni dunia mbili tofauti. Wa biring'anya umejaa ma antioxidants yanayopigana na ROS, Reactive Oxygen Species zinazozeesha binadamu na kuleta ma saratani. Na zinaahirisha visukari. Kula biring'anya.Kutokuwepo kwao naimani hawajabadilisha kitu kwa lugha nyepesi wapo kama biringanya kwenye mchuzi likipatikana sawa likikosekana sawa halina ulazima
Gharama za kuja Tanzània ni kubwaTumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani
Mmoja wa kike yuko Hungary
Mmoja wa kiume hajasema aliko
Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama
-----------------------
Wengine sijui wamevurugwa? Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!
Wait. What ?? Last words to who ? Waombolezaji au to baba yako??? You didn't have last words with your father before he died ??
-------------------
And then enter CHADEMA
Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Wait a minute. Hold up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime happening in Kenya ?
Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.
Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!
The whole thing was a clown show
Gharama za kuja TanzàniaTumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Eti mcheza bao maarufu! Kha!Kwenye msiba wa mtoa mada, tutasema mtoa mada alizaliwa, akawa mcheza bao maarufu then akafa