Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

Diaspora watatu wa Mzee Sarungi hawakuja kumzika baba yao

Aaah!, mtu akishakufa ndo basi tena. Maneno maneno mengi yanabaki kama umbeya tu, tena msiba mkizika watu wawili watatu unakuwa mzuri sana hauna mambo mengi ni kuzika mwili na kuondoka.
Ndiyo maana wenzetu utasikia wanasema hivii:

"The family has asked for the public to respect their privacy during these difficult times. There will be a private service and a family burial".

Kwisha kazi.

Unapunguza attack surface na umbea.
 
Kutokuwepo kwao naimani hawajabadilisha kitu kwa lugha nyepesi wapo kama biringanya kwenye mchuzi likipatikana sawa likikosekana sawa halina ulazima
Mchuzi wenye biring'anya na usio na biring'anya ni dunia mbili tofauti. Wa biring'anya umejaa ma antioxidants yanayopigana na ROS, Reactive Oxygen Species zinazozeesha binadamu na kuleta ma saratani. Na zinaahirisha visukari. Kula biring'anya.

Back to brass tacks.

The Sarungi children disgraced the family. We have beaten that dead horse. Wamechengua.

Na Lissu nae alichengua. Nguvu ya umma ilim bench Mbowe for Lissu ili kuleta siasa ngumu. Sio kucheka cheka kwenye ma podium na habari za Simba na Yanga.

John Heche amekuwa akilaani kwa uchungu jinsi Watanzania walivyofanywa masakala wa mpira. Wakati Lissu anachekesha chekesha kuhusu mpira John Heche's body language was unmistakable. He was steaming! Lissu, lock it in.
 
Tumewekewa sauti zao wanatoa salamu msibani

Mmoja wa kike yuko Hungary

Mmoja wa kiume hajasema aliko

Mwingine Maria, ye akasema ameshindwa kuja kwa sababu za kiusalama

-----------------------

Wengine sijui wamevurugwa? Yule wa Kiume kaanza kwa kusema these are my last words!

Wait. What ?? Last words to who ? Waombolezaji au to baba yako??? You didn't have last words with your father before he died ??

-------------------

And then enter CHADEMA

Heche kahojiwa msibani kailaani serikali kushindwa kuchunguza kutekwa kwa Maria. Wait a minute. Hold up! How the hell do they - Tanzanian authorities - investigate a crime happening in Kenya ?

Tundu Lissu akaja kwenye podium. Nikasubiri nondo kali na laana kali dhidi mambo ya nchi yaliyomkeraga marehemu.

Heee... muda wote anacheka cheka na bullcrap za Sarungi alikuwa Simba, mimi Yanga, Kikwete kanambia thats all he and Sarungi talked about... Simba na Yanga..... Mama Sarungi kanambia nimwite Veronica... a pack of horse doo doo!

The whole thing was a clown show
Gharama za kuja Tanzània ni kubwa
 
Gharama za kuja Tanzània
 
Umesema kweli huo msiba sio private issue ni msiba wa mtu mashuhuri, bunch of nobodies wanatoka povu wakifa no one will even flinch an eye, wote mnaobisha kijinga humu hamna impact or recognition kwenye jamii so ingekua vyema m stick na privacy zenu, btw JF kondoo ni wengi sana akianza mmoja au wawili kupinga mada juu yanatiririkaga tu like headless chickens, u make sense mkuu.. i second u!
 
Back
Top Bottom