Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Mkuu papers zimekugomea nini, kuwa mpole Waache Diaspora waenjoy/wateseke wawezavyo.

Btw, malengo yanatofautiana kati ya mtu na mtu, mwingine anasave awekeze home, mwingine anasave anunue nyumba na kuwekeza kulekule sababu hana mpango na huku mavumbi tena.

Mimi kuna mtu wangu wa karibu ameondoka si muda, kuna vitu ameniachia sababu harudi na hana mpango huo.

BFF wangu pepars zake zitatoka soon, sasa huyu anampango akienda kule amkate kila mtu, anasema nitakuwa nawasilina na wewe tu BFF. Ofcoz ana matatizo fulani na familia yake Kwahiyo hamtaki mtu na harudi. Sasa mtu kama huyu utasema aje afanye kitu gani cha maana huku wakati hana mpango napo?

Learn.
 
Kuna jamaa yangu alitoka home ndani ya mwaka kamjengea mama yake jumba na wadogo zake wawili kawafungulia biashara za maana , wivu wa majirani kidgo wamchomee ndani mama wa watu .

Ukiwa maskini ukitaka kujichomoa katikati ya maskini hakuna rangi utaacha kuona .

Ila wakishaona hawawezi kukufikia tena watajifanya machawa wako , utasikia nilijua tu utafika mbali[emoji12][emoji12]
 
Na mi najua tu utafika mbali (nishaanza kujiweka kuwa chawa wako mkuu) 😂😂
 
Ukweli unauma?? Huu usemi umetokea wapi? Au ni usemi wa kicommumist?

Mkuu ulishawahi kusingiziwa kitu cha uongo? Utakuja kufuta kauli yako ya ukweli unauma.
 
Uchawi kamili anao sema ajapata vilipuzi kama vya Iran aanze kuturudisha nyuma walala hoi
 
Cosmetic life ni wajinga tuu ndio wanaulizia kuja nje mtu kama mimi siwezi kuacha kuenjoy vyakula safi halisi kutoka shambani nije kula vyakula vilivyosindikwa na vyakula vilivyopikwa wiki nzima. Mtu mwenye maisha yake mazuri haitaji kuonesha kwamba yupo vizuri, wale wasio na maisha mazuri ndio huwa wanafanya hivyo kujipa moyo
 
'dayazipora' lazima wakupike...angalia comment za hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…