Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Ni bora ukakose lolote la maana abroad kuliko bongo hii ya sisiemu asee ni fedheha, me sina shida nao wanangu wananiinspire.
 
kwetu sisi ambao tumeishi na kusoma huko, wanatia huruma sana hasa wale walioenda bila kisomo. ila wale walio waliosoma na kuajiriwa wana maisha mazuri.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mantiki hii sina shaka wewe utakuwa unapiga mpaka chabo majirani zako wakiwa wanabanduana.

Haya Bw. Forum endelea kuumia na picha za watu ambao maumivu yako hayana athari yeyote kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…