cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna chalii yangu yuko Toronto kabadilika kila kitu yani akipiga picha anafanana na kina will smith hata kiatu hakichafuki kama alivyokua huku ngarna au ngalimi
Na ndevu hazijikunji tena