Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

Wee sema kwelii??
 
Yote Heri kuliko kuozea kwenye hii nchi inayoendelewa kuharibiwa na ccm.
 
Hakuna tatizo kabisa hapo. By the way, kwani kuchunga wazee Sio kazi halali!?
 
Kiongozi wetu mkuu wa Serikali Video vixen pia, anaweza waringishia na hii
 
Lugha ni uwanja mpana. Acha kukariri.
 
Bongo mambo ni marahisi?

Una kipi cha maana ulichofanya?

Bila shaka wewe ni Hohehae, maskini choka mbaya, Mlala hoi, pangu pakavu tia mchuzi...
 
Asante ubarikiwe sana kwa huu mwandiko
 
Kwa bahati mbaya watakuja wengi kukuponda ila ukweli ni kuwa ubinafsi, uchoyo na chuki umejaa kwa waTZ wengi.
 

Una ushahidi au maneno tu maana sisi tupo na tunafanya mambo makubwa usiongee kitu biła facts
 
Ila ukumbuke kua wanapigania uraia pacha ili waweze kuleta fursa za uwekezaji nyumbani. Sasa bandiko lako ni kama "linawakataa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…