Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha


Kuchamba kwingj mwisho unatoka na mavi tatizo anataka kuonyesha yeye ni nguli mwisho wa siku anaandika matapishi tu sasa kiingereza gani hicho? Vichekesho
 
yaani for sure kule walipo wanaishi kama bongo tu bora liende, hakuna cha maana kule wala huku.

na saa zingine bora wakomae huko huko tu maana wakirudigi bongo vichwa imeharibika tunaishi nao mda mfupi tu wanapotea na tunawasahau 🐒
 

😂😂😂 Siioni Qatar wala Bahrain Hapo. Afu angalia maokoto ya USA. Story zenu za vijiweni zisizo na facts ziwe zinaishia huko huko vijiweni kwa mazwazwa wenzenu sio kwenye jukwaa la GT.

 
yaani for sure kule walipo wanaishi kama bongo tu bora liende, hakuna cha maana kule wala huku.

na saa zingine bora wakomae huko huko tu maana wakirudigi bongo vichwa imeharibika tunaishi nao mda mfupi tu wanapotea na tunawasahau 🐒
Ni kweli kabisa mkuu na huwa hawasemi ukweli kazi yao ni kuwa danganya wengine kwa cosmetic life ila wengi wao maisha yao ni magumu sana, na akitokea amerudi Bongo ndio anachanganyikiwa kabisa.

Mnaosema watu wanawaonea wivu sio kweli lazima ukweli usemwe mmbadilike na kama isingekuwa kweli msingekasirika hivyo. Ukweli unauma zaidi ila ukweli ni mmoja huwa haugawanyiki.
 
Yes,
ni vizuri kuelezana na kushauriana ukweli halisi kwa uwazi, upole na upendo kama huu, kwa manufaa yetu sote kama ndungu waTZ miongoni mwa mataifa duniani...

Pamoja na yote tuombeane kheri, Baraka na Neema za Mungu katika kazi, majukumu na mahangaiko yetu katika kujitaftia riziki halali popote tulipo....
 

Wanadanganya wengine kwa manufaa gani?

Bongo ingekua kutamu wasingeenda mbele.
 
Wanadanganya wengine kwa manufaa gani?

Bongo ingekua kutamu wasingeenda mbele.
Wanadanganya kuonesha kuwa wana maisha mazuri kitu ambacho si kweli ili kuonesha watu kuwa wapo na maisha mazuri chukulia mfano wa wasanii wa kibongo na maisha ya kufake. Kiujumla wanajidanganya wenyewe.

Sio kweli mkuu try to thick critically, kwani kwenda mbele ni hoja, kuna watu wanaishi maisha mazuri bongo vibaya sana, sasa wewe kwenda kuwa homeless na kula processed food na vyakula vya juzi ndio utamu huo. Wengi walienda kwa kudanganywa hivyo hivyo walipofika hawakukuta maisha mazuri kama walivyofikiri wao.

Chukulia mfano kuna watu wanaishi maisha ya tabu sana hapa Dar ila kuna mtu mwingine mkoani ana maisha mazuri sana cha ajabu huyu wa Dar anaigiza kuwa ana maisha mazuri ila akipata shida km kuugua ndio anaumbuka.
 
Uliza familia zao. Wamesaidia au wanakula bata tu?
 
inaonekana humu wako wengi. watakunyoosha hadi uombe po
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…