Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LemutuzUna ushahidi au maneno tu maana sisi tupo na tunafanya mambo makubwa usiongee kitu biła facts
nyani ngabu, icho ulichoandika hapa ni kiingereza, au ndio zile american slang? mtoto wangu wa darasa la sita hapa bongo anaandika kiingereza kizuri kuliko hiki. "you don't got a life of your own" ndio nini icho? sasa hawa ndio wameendaga huko hawana shule, wanabeba mabox na kuchunga wazee. anashindwa hata na mtu aliyesoma HGL tu hapa bongo.
Bongo mambo ni marahisi?
Una kipi cha maana ulichofanya?
Bila shaka wewe ni Hohehae, maskini choka mbaya, Mlala hoi, pangu pakavu tia mchuzi...
yaani for sure kule walipo wanaishi kama bongo tu bora liende, hakuna cha maana kule wala huku.Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana na hata watoto wao ndo hawa wakina Anthony Joshua, Saka, Rotimi n.k
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Kwa bahati mbaya watakuja wengi kukuponda ila ukweli ni kuwa ubinafsi, uchoyo na chuki umejaa kwa waTZ wengi.
Mtoa mada upo sahihi kabisa diaspora wengi wa Tanzania hasa wanaoishi Marekani hawana lolote kwa sababu mambo ni magumu sana huko..
Diaspora wanao fanya vitu vya maana Tz wengi wao ni wale waliopo kwenye chi kama Qatar Bahrain etc but USA hell no bora hata waliopo Mozambique
Ni kweli kabisa mkuu na huwa hawasemi ukweli kazi yao ni kuwa danganya wengine kwa cosmetic life ila wengi wao maisha yao ni magumu sana, na akitokea amerudi Bongo ndio anachanganyikiwa kabisa.yaani for sure kule walipo wanaishi kama bongo tu bora liende, hakuna cha maana kule wala huku.
na saa zingine bora wakomae huko huko tu maana wakirudigi bongo vichwa imeharibika tunaishi nao mda mfupi tu wanapotea na tunawasahau 🐒
Yes,Ni kweli kabisa mkuu na huwa hawasemi ukweli kazi yao ni kuwa danganya wengine kwa cosmetic life ila wengi wao maisha yao ni magumu sana, na akitokea amerudi Bongo ndio anachanganyikiwa kabisa.
Mnaosema watu wanawaonea wivu sio kweli lazima ukweli usemwe mmbadilike na kama isingekuwa kweli msingekasirika hivyo. Ukweli unauma zaidi ila ukweli ni mmoja huwa haugawanyiki.
Ni kweli kabisa mkuu na huwa hawasemi ukweli kazi yao ni kuwa danganya wengine kwa cosmetic life ila wengi wao maisha yao ni magumu sana, na akitokea amerudi Bongo ndio anachanganyikiwa kabisa.
Mnaosema watu wanawaonea wivu sio kweli lazima ukweli usemwe mmbadilike na kama isingekuwa kweli msingekasirika hivyo. Ukweli unauma zaidi ila ukweli ni mmoja huwa haugawanyiki.
Wanadanganya kuonesha kuwa wana maisha mazuri kitu ambacho si kweli ili kuonesha watu kuwa wapo na maisha mazuri chukulia mfano wa wasanii wa kibongo na maisha ya kufake. Kiujumla wanajidanganya wenyewe.Wanadanganya wengine kwa manufaa gani?
Bongo ingekua kutamu wasingeenda mbele.
Uliza familia zao. Wamesaidia au wanakula bata tu?Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana na hata watoto wao ndo hawa wakina Anthony Joshua, Saka, Rotimi n.k
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
inaonekana humu wako wengi. watakunyoosha hadi uombe poUkianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana na hata watoto wao ndo hawa wakina Anthony Joshua, Saka, Rotimi n.k
Wakenya nao wanajitahidi hawako nyuma ila njoo kwa ndugu zetu wa-tanzania hawasikiki au kwa sababu ni wachache sana
Kikubwa wanachokifanya ni kuturingishia picha
Mfano diaspora wengi wa Tanzania wanaoishi South Afrika wanajihushisha na uhalifu hawana sifa nzuri wengi wao sio wote wanapuyanga huko abroad
Nimewaambia ukweli unawauma lazima wakasirikeinaonekana humu wako wengi. watakunyoosha hadi uombe po
Kiranga umeamua kuja na id yako nyingineBongo mambo ni marahisi?
Una kipi cha maana ulichofanya?
Bila shaka wewe ni Hohehae, maskini choka mbaya, Mlala hoi, pangu pakavu tia mchuzi...