Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"
did amina chifupa die a natural death?[/QUOT
Stop asking stupid quwations.....that reflects ur thinking capability
there is no artificial death so am confused with ua question bcoz the cause of death can not b natural but not death. so mwl died a natural death!
did amina chifupa die a natural death?[/QUOT
Stop asking stupid quwations.....that reflects ur thinking capability
mkuu kwako unaona ni stupid qn but aliyeliuliza ana maana ake
I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"
Tatizo JF ni moja tu, post za kwanza kwanza zikionyesha kupinga kilicho letwa na Member yeyote basi tegemea mpaka mwishi ni kupingwapingwa tuuu...
Imran Shimbo usihofu Karibu MF hakuna kufuata mikumbo kama huku (Uhuru wenye mipaka ni Utumwa).
Turudi nyuma twende mbele alafu tujiulize nini kwanini na wakowapi? Wafuatao pro.malima imrani kombe Amina chifupa daud mwangosi juan mwaikusa dr mvungi na mengi orodha yao ni ndefu dana naogopa kupoteza muda kwa kuorodhesha ukipata jibu wapi walipo basi kifo cha mheshimiwa hakitakusumbua na hutakuwa maswali tena
Turudi nyuma twende mbele alafu tujiulize nini kwanini na wakowapi? Wafuatao pro.malima imrani kombe Amina chifupa daud mwangosi juan mwaikusa dr mvungi na mengi orodha yao ni ndefu dana naogopa kupoteza muda kwa kuorodhesha ukipata jibu wapi walipo basi kifo cha mheshimiwa hakitakusumbua na hutakuwa maswali tena
I can dare say Yes! Mwezi wa July 1999 kulikuwa na kongamano la Mwalimu Nyerere na nilihudhuria. Lilifanyika kijijini kwake Butiama. Mwalimu nilikaa nae kti kimoja na tulipata kuongea mawili matatu. Alionekana dhaifu sana kimwili, ingawa kiakili na spiritually alikuwa bado very strong. Alikuwa amepoteza rangi kabisa naweza kusema alifanana kabisa na zeruzeru na kichwa chake chote cheupe, alikuwa akitembea kidhaifu na wakati wote alikuwa na miwani myeusi! Wengi tuliokuwa pale tulikwisha anza kuteta na kuulizana kinachomzibu Mwlm Nyerere. Afisa mmoja wa Usalama aliyekuwa karibu alitufahamisha kuwa alikuwa akiumwa muda tu kwa sasa na kuna siku moja aliwahi kumuuliza Raisi wa wakati huo B. W. Mkapa "je, umewaeleza watanzania ninachoumwa?" alimalizia afisa huyo. Alipofariki mwaka huohuo October 14 1999 niliweza kuamini kabisa taarifa za vyombo mbalimbali vya habari kikiwemo cha BBC ambacho kilisema ninankuuu "The 77-year-old statesman was diagnosed with leukaemia in August 1998 and was being treated in a London hospital" tazama hapa: BBC News | Africa | Tanzania's Nyerere dies
Sishawishiki kabisa na propaganda yeyote itakayosema kwa umri wake na hali ambayo niliishuhudia mwenyewe kwa macho kuwa atakua ameuwawa. Tayari alikuwa dhaifu sana na kama tutakumbuka aliondoka hapa kwenda kwenye matibabu na si vinginevyo! Hivyo basi, naamini kabisa, Mwl. Nyerere alifariki kwa kifo kinachotokana na ugonjwa aliyokuwa nao na si vinginevyo.
chagua chadema
Ish! Yaani hata Mwangosi unamjumuisha kundini wakati inajulikana kuwa alitolewa kafara na Slaa na sasa ni msukule unaomuingizia mahela mengi tu.
Usiwe na akili ndogo kama ya kuku chadema wana jeshi ama slaa kikosi gani kinacho mtii hadi kitekeleze amri yake jaribu kufikiri kwa makini if you dont know no right to say cool down
Usiwe na akili ndogo kama ya kuku
chama cha wamangiwahuni hao.