Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Hebu anza mchakato bwana, acha kunizeveza🤣🤣
Mie nakusikiliza ww tu, hapa nipo kamili gado.. hebu taja mahari nikija huko nakuja kamili,sio mambo ya barua sijui, majibu mwezi ujao, ndoa mwakani..
Nataka nikija namaliza nakuweka begani,tunarudi nyumbani kuhondomola KISHERIA. 🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee mwenzangu umenishinda tabia.
 
Kwakweli singeolewa nae tena,5 years na sijawah kufurahia ndoa.
 
Hpn aisee kuna watu pasua kichwa ile balaa uko kitaani yani usiombe. Juzi nimekialika kitoto kimoja ufalmeni kwa siku 2-3 hivi nkachok mwenyewe. Yaani kinajifanya hakijui kubajeti wala nini. Chenyewe ile kolgate kinaiminya kuanzia katikati yaani unaweza kutamani kukazaba makofi. Kakipika mboga eti kanaileta yote mezani😇. hlf watu wa hivi ukienda kwao ni njaa tupu ndo imetamalaki.
 
KATAA NDOA

KUNA WATU WANAVUTWA MASHAVU NA WAKE ZAO ILA COMMENTS ZAO .............NITAMUOA TENA !¡!

HAKUNA MTU SAHIHI UKIVUMILIA SIKU HIZI UNATAFUTA KUFA.

KUNA JAMAA KAMNG'OA MKEWE MENO 3 YA MBELE BAADA YA KUGUNDUA KUWA WATOTO 3 SIO WA KWAKE WOTE.

[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…