Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hapana mkuu. Hizo ishu situmii Samaritan Nemesis . Ila kuhusu kuwa ficha vijana, mi next level.Mi nakukubali mwanangu.. hata tunda kimasihara unakulaga kama Nas
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Hizo ishu situmii Samaritan Nemesis . Ila kuhusu kuwa ficha vijana, mi next level.Mi nakukubali mwanangu.. hata tunda kimasihara unakulaga kama Nas
Ahhh wee, mimi sipo vizuri kiimani lisije likahama kwako likahamia kwangu.Njoo tukemee wote[emoji7]
bro kwenye kingereza hapo umeniacha mbali nimeona car peke yake .Yes we had good time soon after our marriage and everything thing was perfect for 5 Yrs and from no where i lost my job then our car crashed and everything changed i restated my life from the scratch. You know what i asked her to go home and if she decides to apart from me i will accept but she totally refused and up to sasa we are together to me she is more than a wife hakuna wa kuvumilia tulipopita na sasa Mungu ameanza kutuinua tena
Mlikutanaje?uliona vitu gani kwake kujiridhisha kuwa huyo ni chaguo lako na kuamua kuwa pamoja?tupe kastory kidogo.To answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together 😊
I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .
Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
Hongera kwakua muaminifu Kwa mkeoTo answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together [emoji4]
I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .
Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
Nilikutana nae siku ambayo niliachika kutoka kwa ex wangu Angel. Huyu angel nilimpenda sana. Siku ananiacha naelekea posta chuo nikawa namuomba Mungu njia nzima. Nikashuka kwenye daladala posta, sikusitisha maombi mpaka naingia chuo mlangoni IFM bado nilikuw naomba nasali rozari. .Mlikutanaje?uliona vitu gani kwake kujiridhisha kuwa huyo ni chaguo lako na kuamua kuwa pamoja?tupe kastory kidogo.
Nilikuwa muhuni sana playboy kweli kweli. For those who knew me from before wakiniona sasa hawaamini kabisa. .Hongera kwakua muaminifu Kwa mkeo
Naogopa kujibu isije ikawa wewe ndio yeye,kumbe yumo humu ikawa balaa...Happy Sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa Wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? Japokuwa binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa, kuolewa tena je utamchagua mtu huyuhuyu ulienaye sasa hivi?
Have a nice sunday's evening.
WaoooooNilikutana nae siku ambayo niliachika kutoka kwa ex wangu Angel. Huyu angel nilimpenda sana. Siku ananiacha naelekea posta chuo nikawa namuomba Mungu njia nzima. Nikashuka kwenye daladala posta, sikusitisha maombi mpaka naingia chuo mlangoni IFM bado nilikuw naomba nasali rozari. .
Kwa waliosoma IFM ukipandisha njia ya function hall. Nikiwa ghorofa ya kwanza nikakutana nae aisee moyo ulipiga sana just watching her passing me by. Nilielekea ghorof ya nne, moyo unanambia huyu dada ndie chaguo lako ila siamini amini. Nikiwa nashuka ngazi nikasema tena kama nikikutana nae she again she is the one. Nilishuka and I net her again on stairs aisee niliona mazingaombwe hata sasa. .
Nilivyofika chini nikaa kama dakika tano hivi nikasema na mama Maria. If I meet her this time I will believe she is the one. Yesu wangu naapa I met her again tena nae yuko as if she was waiting for me. I just went close to her and get lost in her eyes. She just stared back at me and I was just looking at her without saying anything. .
I said Hi, I am Gilbert. She just smiled at me[emoji846] Can I have your number? I handed her my phone. She held my phone without typing anything just thinking. Then she gave me her phone to type my number. Nikafiri perhaps hataki kutoa number zake. Ila that night she called me and there started the beautiful friendship. .
Next day I met her and told her I am crazy about her. She didn't say anything. I kissed her lips surprisingly she just look at me. Hakuwa mtu wa kuongea wala maneno. But nimemchangamsha now sio kama back them..Aisee mimi ninaongea kama charahani I can't help it. .
In a month she offered me her virginity. Never thought msichana yuko chuo awe virgin. All I say the next day akinicall alilia sana. She was so scared that I will run away. She was worried I wouldn't marry her. But my word is my life. I was already commuted to her by blood. .
Amekuwa mshauri mkubwa sana kwangu. In 2016 for the first time alinishauri nijenge na nilimbeza. I told her " Niache kwenda zangu China nijenge? wanaojenga ni waoga, ngoja niende China twice nanunua nyumba ya huyo anayejenga sasa". Usiku moyo uliniuma sana nikikumbuka nilivyomjibu.
To make the story short nimejenga nyumba moja ya familia ndogo. Nimejenga nyumba nyingine very very big apartment ya watu wanna. Ila sijaimalizia. Wale ambao walikuwa wanaenda China wote walifilisika kipindi cha magu nikawaza kama nisingemsikiliza je. Nina heka 20 pwani, kiwanja kibaha. Ila hapa sijahesabu vya kupewa. .
How do I know she is the right person for me. Ukiona mapenzi yako hayana maendeleo yani hayakui ujue hauko na mtu sahihi. Binafsi naamini amenikuza sana kwa sababu si mtu mwenye makuu. .
She has given me a very beautiful daughter. This month in two weeks I will have another child with her. Mungu kanibariki sana na maisha yangu sihisi kama nimepungukiwa na kitu. Hata nikipoteza something will even out. .
Kuna mda nawaza was she someone I knew from the past. Maana naweza waza jambo tukiwa pamoja na yeye akawa anawaza (hii imetokea mara nyingi). I dream about things na yeye anakuwa anaviota (hii imetokea sana). Kuna mambo sihitaji kuandika hapa ila nayaweka moyoni ila ni juu ya uweza wangu sisemi kwa sababu I swore I will never tell a soul. Naweza onekana chini. .
Let me say one thing tho. Kuna mda nilitaka kumuacha I was so freaked out. Nikiwa Road nilibebwa na gari ndogo mzoba mzoba. Second time I tried to leave her it happen again. Nilikuja notice the third time kuwa there is a pattern. Huyu mwanamke ni mtu wa maombi sana nahisi nikinuacha itakuwa mwisho wa maisha yangu. Nilitaka kumwacha sio kwa sababu simpendi hapana, kwa sababu I was so sick kipindi flan (my body release adrenaline and have some issues with nervous system). Ila si unajua watu wakiumwa wanawafukuza wanaowapenda. .
Its very scary to love someone but for us its mutual. Our first child died. Ningekuwa na watoto watatu sana. She cried there in hospital watu walituzunguka. The doctor said "mimba imeharibika". This broke my heart but to see her crying it torn my heart in pieces. That day I knew how lost I am in her and I will never try to fight it again. I am totally in let them call me crazy coz I am crazy over her. She understands me and my weird sense of humour. .
......
Shukran sana ndugu. .Waooooo
Hongera sana mkuu, Kuna kitu nimejifunza
Wenzio wapo married na hiyo babe umeamkaje hawaioni😀😀 hamna hata kuulizwa babe umeamkaje? Aah maisha gani hayo
Wee unapaswa kukamatwa na kikundi cha kataa ndoa. Utatuharibia mipangoNilikutana nae siku ambayo niliachika kutoka kwa ex wangu Angel. Huyu angel nilimpenda sana. Siku ananiacha naelekea posta chuo nikawa namuomba Mungu njia nzima. Nikashuka kwenye daladala posta, sikusitisha maombi mpaka naingia chuo mlangoni IFM bado nilikuw naomba nasali rozari. .
Kwa waliosoma IFM ukipandisha njia ya function hall. Nikiwa ghorofa ya kwanza nikakutana nae aisee moyo ulipiga sana just watching her passing me by. Nilielekea ghorof ya nne, moyo unanambia huyu dada ndie chaguo lako ila siamini amini. Nikiwa nashuka ngazi nikasema tena kama nikikutana nae she again she is the one. Nilishuka and I net her again on stairs aisee niliona mazingaombwe hata sasa. .
Nilivyofika chini nikaa kama dakika tano hivi nikasema na mama Maria. If I meet her this time I will believe she is the one. Yesu wangu naapa I met her again tena nae yuko as if she was waiting for me. I just went close to her and get lost in her eyes. She just stared back at me and I was just looking at her without saying anything. .
I said Hi, I am Gilbert. She just smiled at me🙂 Can I have your number? I handed her my phone. She held my phone without typing anything just thinking. Then she gave me her phone to type my number. Nikafiri perhaps hataki kutoa number zake. Ila that night she called me and there started the beautiful friendship. .
Next day I met her and told her I am crazy about her. She didn't say anything. I kissed her lips surprisingly she just look at me. Hakuwa mtu wa kuongea wala maneno. But nimemchangamsha now sio kama back them..Aisee mimi ninaongea kama charahani I can't help it. .
In a month she offered me her virginity. Never thought msichana yuko chuo awe virgin. All I say the next day akinicall alilia sana. She was so scared that I will run away. She was worried I wouldn't marry her. But my word is my life. I was already commuted to her by blood. .
Amekuwa mshauri mkubwa sana kwangu. In 2016 for the first time alinishauri nijenge na nilimbeza. I told her " Niache kwenda zangu China nijenge? wanaojenga ni waoga, ngoja niende China twice nanunua nyumba ya huyo anayejenga sasa". Usiku moyo uliniuma sana nikikumbuka nilivyomjibu.
To make the story short nimejenga nyumba moja ya familia ndogo. Nimejenga nyumba nyingine very very big apartment ya watu wanna. Ila sijaimalizia. Wale ambao walikuwa wanaenda China wote walifilisika kipindi cha magu nikawaza kama nisingemsikiliza je. Nina heka 20 pwani, kiwanja kibaha. Ila hapa sijahesabu vya kupewa. .
How do I know she is the right person for me. Ukiona mapenzi yako hayana maendeleo yani hayakui ujue hauko na mtu sahihi. Binafsi naamini amenikuza sana kwa sababu si mtu mwenye makuu. .
She has given me a very beautiful daughter. This month in two weeks I will have another child with her. Mungu kanibariki sana na maisha yangu sihisi kama nimepungukiwa na kitu. Hata nikipoteza something will even out. .
Kuna mda nawaza was she someone I knew from the past. Maana naweza waza jambo tukiwa pamoja na yeye akawa anawaza (hii imetokea mara nyingi). I dream about things na yeye anakuwa anaviota (hii imetokea sana). Kuna mambo sihitaji kuandika hapa ila nayaweka moyoni ila ni juu ya uweza wangu sisemi kwa sababu I swore I will never tell a soul. Naweza onekana chini. .
Let me say one thing tho. Kuna mda nilitaka kumuacha I was so freaked out. Nikiwa Road nilibebwa na gari ndogo mzoba mzoba. Second time I tried to leave her it happen again. Nilikuja notice the third time kuwa there is a pattern. Huyu mwanamke ni mtu wa maombi sana nahisi nikinuacha itakuwa mwisho wa maisha yangu. Nilitaka kumwacha sio kwa sababu simpendi hapana, kwa sababu I was so sick kipindi flan (my body release adrenaline and have some issues with nervous system). Ila si unajua watu wakiumwa wanawafukuza wanaowapenda. .
Its very scary to love someone but for us its mutual. Our first child died. Ningekuwa na watoto watatu sana. She cried there in hospital watu walituzunguka. The doctor said "mimba imeharibika". This broke my heart but to see her crying it torn my heart in pieces. That day I knew how lost I am in her and I will never try to fight it again. I am totally in let them call me crazy coz I am crazy over her. She understands me and my weird sense of humour. .
......
Hiki ni kikundi cha wahuni kama panta road tu wanakataa ndoa lakini hawakatai mbususu🤣😃Wee unapaswa kukamatwa na kikundi cha kataa ndoa. Utatuharibia mipango
Sasa mbona ata wewe ulikula tunda kabla ya kumuoa wifeHiki ni kikundi cha wahuni kama panta road tu wanakataa ndoa lakini hawakatai mbususu🤣😃