Bora umewaambia mkuu me nadhani wengi hawajamfuatilia Giroud akiwa na timi ya taifa.Nyie mnaomponda Giroud naomb mnitajie striker yupi mwenye takwimu nzuri anaestahili kuitwa national team kuchukua nafasi yake.
Kwa sasa na kwa wachezaji wote wa ufaransa ni Giroud ndio anaongoza kwa kupachika magoli. Mpaka sasa ana jumla ya magoli 30, huyo griezman ana magoli 17 kwenye maechi 51.
Hao wakina lacazete na wengine walioachwa hata kwenye top 10 ya magoli hawamo. Giroud record zake za team ya taifa zinambeba sana.
Muda ufike Zidane akabidhiwe timu, Dogo Martial mi pia namkubali sana, Dogo ni fundi ila Deschamps ni mbaguzi sana na anawapenda wazawa Og tu. SWALI LA KIZUSHI: Hivi Giroud ni first eleven wa kutegemewa kweli!?
Endeleeni kujidanganya Giroud kwenye timu ya taifa ni hatari sana amefunga magoli mengi sana kocha anamuamini sana tofauti na sisi tunavyomchukulia.
Unafahamu takwimu zao ndani ya timu ya taifa...!!!?Unamuacha Lacazete unabeba Giroud??
Payet majeruhi then lazma utambue kuwa france ina utitiri wa wachezaji wazuri na huwezi kuita wote,maana kuna limit....Kuachwa kwa payet na adrien rabiot,ndo kumeniuma zaidi.
Martial angeitwa badala ya nani??kwa huyu dogo kutoitwa amestahili.France imekamilika bhana pale mbele
Yap ni sawa kabisa kwani laca hana kipya ambacho mbape,grizman na osmane watashindwa kufanya.....asubiri kwanza aachage uvivuUnamuacha Lacazete unabeba Giroud??
Huyo Lemar hana uwezo wa MartialKuachwa kwa payet na adrien rabiot,ndo kumeniuma zaidi.
Martial angeitwa badala ya nani??kwa huyu dogo kutoitwa amestahili.France imekamilika bhana pale mbele
Ni bora mara 100 kua na Giroud kuliko LacazetteAcheni kufananisha giroud na upumbavu kocha ana akili sana.....tupa kule martial na laca safi sana
mpira haupo hivyo, ingekuwa hivyo, Mario Gotze angeitwa Ujerumani. Bila yeye pengine leo hii wasingekuwa mabingwa wa Dunia.Naomba takwimu za Lacazette vs Giroud national team mkuu.
kwenye iyo list ya wachezaji walioachwa sidhani kama kuna mchezaji aliyeonewa, uyo rabiot na uhodari wake hamuwezi steven nzonzi wa sevilla.Walioachwa ni
Rabiot
Ben yadder
Zouma
Payet
Martial
Laporte
Digne
Debuchy
Costil.
Zouma sio fundi mkuu, unatuangusha kaka!M
Mourinho kasababisha yote hayo kwa kumnyima fundi martial muda Wa kutosha .. France wameacha mafundi kibao
Martial
Zouma
Yedder
Payet
Rabiot
Costril
Mkuu tofauti ya Ujerumani na Ufaransa ipo hivi.mpira haupo hivyo, ingekuwa hivyo, Mario Gotze angeitwa Ujerumani. Bila yeye pengine leo hii wasingekuwa mabingwa wa Dunia.
Huyu Mcongo yupo vizur sana.!kwenye iyo list ya wachezaji walioachwa sidhani kama kuna mchezaji aliyeonewa, uyo rabiot na uhodari wake hamuwezi steven nzonzi wa sevilla.
namzungumzia nzonzi wa sevilla na si nzonzi wa stoke city.
Sahihi mkuuNi bora mara 100 kua na Giroud kuliko Lacazette
Martial na laca wanawazidi nini mbappe,ousmane na grizman?mpira haupo hivyo, ingekuwa hivyo, Mario Gotze angeitwa Ujerumani. Bila yeye pengine leo hii wasingekuwa mabingwa wa Dunia.
SawasawaOngelea kukosekana kwa Lacazette Ila Giroud namuelewa sana jamaa.
Umuhimu wake ni wachache tunaujua... Ishu ya RABIOT ni kweli dogo kakatwa kimagumashi..
Huyo Benjamin Mendy pia angeangalizia tu kwenye tv..
Martial ni 50/50 japo pia alitakiwa kuwepo Russia.. Benzema kuachwa ni sawa hakuwa vzr season hii.
ABSOLUTELYantonio martial wa nini wakati kwenye kikosi una wachezaji kama nabil fekir, florian thauvin, griezmann na kylian mbappe.
huyu martial ana msimu wa tatu soka lake halibadiliki, ni mburutaji mzuri sana wa mipira lakini akifika kwenye eneo la adui anaweza kukufanya utapike futari uliokula kwa maamuzi mabovu, na kwenye klabu ya manchester united amekutana na rashford basi wakipangwa pamoja ni full vituko kuliko kuangalia video za MR BEAN.
tukipata nafasi tuwe tunaangalia na hizi timu za katikati ili tupate kuwaona na hawa wachezaji wengine na tusiishie kutizama ligi kuu ya uingereza na hispania na pamoja na ligi ya mabingwa.