Didier Deschamps kwanini umemuacha Anthony Martial?

Didier Deschamps kwanini umemuacha Anthony Martial?

Nyie mnaomponda Giroud naomb mnitajie striker yupi mwenye takwimu nzuri anaestahili kuitwa national team kuchukua nafasi yake.

Kwa sasa na kwa wachezaji wote wa ufaransa ni Giroud ndio anaongoza kwa kupachika magoli. Mpaka sasa ana jumla ya magoli 30, huyo griezman ana magoli 17 kwenye maechi 51.

Hao wakina lacazete na wengine walioachwa hata kwenye top 10 ya magoli hawamo. Giroud record zake za team ya taifa zinambeba sana.
Bora umewaambia mkuu me nadhani wengi hawajamfuatilia Giroud akiwa na timi ya taifa.
 
Muda ufike Zidane akabidhiwe timu, Dogo Martial mi pia namkubali sana, Dogo ni fundi ila Deschamps ni mbaguzi sana na anawapenda wazawa Og tu. SWALI LA KIZUSHI: Hivi Giroud ni first eleven wa kutegemewa kweli!?

Walioachwa ni
Rabiot
Ben yadder
Zouma
Payet
Martial
Laporte
Digne
Debuchy
Costil.
 
Kuachwa kwa payet na adrien rabiot,ndo kumeniuma zaidi.

Martial angeitwa badala ya nani??kwa huyu dogo kutoitwa amestahili.France imekamilika bhana pale mbele
Payet majeruhi then lazma utambue kuwa france ina utitiri wa wachezaji wazuri na huwezi kuita wote,maana kuna limit....
 
Acheni kufananisha giroud na upumbavu kocha ana akili sana.....tupa kule martial na laca safi sana
 
Walioachwa ni
Rabiot
Ben yadder
Zouma
Payet
Martial
Laporte
Digne
Debuchy
Costil.
kwenye iyo list ya wachezaji walioachwa sidhani kama kuna mchezaji aliyeonewa, uyo rabiot na uhodari wake hamuwezi steven nzonzi wa sevilla.
namzungumzia nzonzi wa sevilla na si nzonzi wa stoke city.
869154062.jpg
 
mpira haupo hivyo, ingekuwa hivyo, Mario Gotze angeitwa Ujerumani. Bila yeye pengine leo hii wasingekuwa mabingwa wa Dunia.
Mkuu tofauti ya Ujerumani na Ufaransa ipo hivi.
German imetwaa kombe 2014 hivyo kwenye kikosi chao kuna hazina kubwa ya wachezaji waliopata mafanikio na timu hivyo wana uwezo wa kuwainfluence wenzao ambao hawajapata mafanikio wafanye vizuri zaidi.
France imetwaa kombe 1998 hivyo hakuna mchezaji yoyote yule ambaye anaweza kuwapa motivation wenzake wafanye vizuri kufikia mafanikio yake. Ndio maana kocha ameamua kuchagua Giroud ambae ana takwimu nzuri timu ya taifa (mabao 30) ili angalau awape chachu wenzake ya kufanya vizuri kumfikia au kumzidi kabisa.
Ndio maana hata Spain pamoja na kua na wachezaji wengi wazuri lkn Iniesta atakuepo kwenye kikosi. Unadhani kwanini????
 
Ongelea kukosekana kwa Lacazette Ila Giroud namuelewa sana jamaa.
Umuhimu wake ni wachache tunaujua... Ishu ya RABIOT ni kweli dogo kakatwa kimagumashi..
Huyo Benjamin Mendy pia angeangalizia tu kwenye tv..
Martial ni 50/50 japo pia alitakiwa kuwepo Russia.. Benzema kuachwa ni sawa hakuwa vzr season hii.
 
kwenye iyo list ya wachezaji walioachwa sidhani kama kuna mchezaji aliyeonewa, uyo rabiot na uhodari wake hamuwezi steven nzonzi wa sevilla.
namzungumzia nzonzi wa sevilla na si nzonzi wa stoke city.
869154062.jpg
Huyu Mcongo yupo vizur sana.!
 
Ongelea kukosekana kwa Lacazette Ila Giroud namuelewa sana jamaa.
Umuhimu wake ni wachache tunaujua... Ishu ya RABIOT ni kweli dogo kakatwa kimagumashi..
Huyo Benjamin Mendy pia angeangalizia tu kwenye tv..
Martial ni 50/50 japo pia alitakiwa kuwepo Russia.. Benzema kuachwa ni sawa hakuwa vzr season hii.
Sawasawa
 
antonio martial wa nini wakati kwenye kikosi una wachezaji kama nabil fekir, florian thauvin, griezmann na kylian mbappe.
huyu martial ana msimu wa tatu soka lake halibadiliki, ni mburutaji mzuri sana wa mipira lakini akifika kwenye eneo la adui anaweza kukufanya utapike futari uliokula kwa maamuzi mabovu, na kwenye klabu ya manchester united amekutana na rashford basi wakipangwa pamoja ni full vituko kuliko kuangalia video za MR BEAN.
tukipata nafasi tuwe tunaangalia na hizi timu za katikati ili tupate kuwaona na hawa wachezaji wengine na tusiishie kutizama ligi kuu ya uingereza na hispania na pamoja na ligi ya mabingwa.
NabilFekirSaintEtiennevOlympiqueLyonnais8tCuhYpg-Zix.jpg
 
ABSOLUTELY
 
Back
Top Bottom