antonio martial wa nini wakati kwenye kikosi una wachezaji kama nabil fekir, florian thauvin, griezmann na kylian mbappe.
huyu martial ana msimu wa tatu soka lake halibadiliki, ni mburutaji mzuri sana wa mipira lakini akifika kwenye eneo la adui anaweza kukufanya utapike futari uliokula kwa maamuzi mabovu, na kwenye klabu ya manchester united amekutana na rashford basi wakipangwa pamoja ni full vituko kuliko kuangalia video za MR BEAN.
tukipata nafasi tuwe tunaangalia na hizi timu za katikati ili tupate kuwaona na hawa wachezaji wengine na tusiishie kutizama ligi kuu ya uingereza na hispania na pamoja na ligi ya mabingwa.