kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,072
- 1,424
mimi nashangaa sana jamaa alivyokuwa jembe namna ileKocha wenu si alikuwa anasema Costa jeuri sana, ila ni kweli jamaa kiburi na mkorofi ila kwenye swala la ku score magoli yupo vizuri.
nimecheka sanaa mkuuCosta mwenye mguu mmoja ni sawa huyo Morata aliye na miguu miwili...
Au tumtimuee kontee..Costa yukp vizuri, morata hakuna kitu mle, yule kama Torres tu, katunyima ushindi leo.
Inshort sijawashi kumkubali hata siku moja
Aondoke tuuuuAu tumtimuee kontee..
mkuu ila naye ana score magoli flani ya vichwaaaHuyu morata sijawai kumuelewa tangu akiwa madrid hata alipoenda juve, kwangu mimi hakuna kitu hapo
mkuu una mcompare vipi drogba legend na costa??Conte amefanya mistake sana kumuacha costa..ni bora angekuwa na wote..costa and morata...Costa ni zaidi ya Drogba..basi tuu kwa sababu Drogba alikaa miaka mingi..
Uwe na maneno ya akiba mkuu Didier was more than any strika pale fanya upembuzConte amefanya mistake sana kumuacha costa..ni bora angekuwa na wote..costa and morata...Costa ni zaidi ya Drogba..basi tuu kwa sababu Drogba alikaa miaka mingi..
Si kwel..fanya ww upembuzi wako..msimu wa kwanza Drogba alifunga goli ngap??na Costa alifunga ngap??angalia ratio ya goal per game..costa alikuwa ni jeshi la mtu mmoja akiwa mbele..Drogba alikaa muda mrefu..kama Costa angekaa misimu kumi kama didier..angevunja record ya lamps..Uwe na maneno ya akiba mkuu Didier was more than any strika pale fanya upembuz
Drogba achana na ule mziki bhana!Conte amefanya mistake sana kumuacha costa..ni bora angekuwa na wote..costa and morata...Costa ni zaidi ya Drogba..basi tuu kwa sababu Drogba alikaa miaka mingi..
Hata Mimi namshangaa sanamkuu una mcompare vipi drogba legend na costa??
Nyinyi mna mahaba na drogba..labda kwa sababu ni muafrica mwenzetu..hoja zangu ni..angalia msimu wa kwanza wa drogba na Diego walifunga goli ngap ngap??nan alikuwa wa kwanza kufikisha goli 50..??angalia ratio ya goal per game..kama Diego angekaa at least misimu saba tuu..angekuwa all time goal scorer wa Chelsea...Costa ni jeshi la mtu mmoja...Hata Mimi namshangaa sana
Kwel Drogba aligning the most important goal kwa chelsea..kile kichwa pale alianz arena..na alifunga final nying pale wembley..lkn Costa ni machine nyingine..peke yake ana occupy the entire back line ya opponent..costa is just a beastDrogba achana na ule mziki bhana!