Diego Costa vs A. Morata

Diego Costa vs A. Morata

kinjekitile70

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
1,072
Reaction score
1,424
Wakuu heri ya mwaka mpya...
Kwanza kabisa mimi nimekuwa shabiki mkubwa sana wa timu pendwa ya Chelsea.

Huwa nakaa na kutafakari sababu iliyomfanya Conte amuuze Costa na kuchukua Morata ilihali Costa alikuwa ana score magoli mengi sana, pia alisaidia Chelsea kutwaa ubingwa msimu uliopita.

Naomba wazoefu mnijulishe vigezo alivyotumiaa Kocha huyu
Naomba kuwasilisha...
 
Kocha wenu si alikuwa anasema Costa jeuri sana, ila ni kweli jamaa kiburi na mkorofi ila kwenye swala la ku score magoli yupo vizuri.
mimi nashangaa sana jamaa alivyokuwa jembe namna ile
 
Huyu morata sijawai kumuelewa tangu akiwa madrid hata alipoenda juve, kwangu mimi hakuna kitu hapo
 
Conte amefanya mistake sana kumuacha costa..ni bora angekuwa na wote..costa and morata...Costa ni zaidi ya Drogba..basi tuu kwa sababu Drogba alikaa miaka mingi..
 
Uwe na maneno ya akiba mkuu Didier was more than any strika pale fanya upembuz
Si kwel..fanya ww upembuzi wako..msimu wa kwanza Drogba alifunga goli ngap??na Costa alifunga ngap??angalia ratio ya goal per game..costa alikuwa ni jeshi la mtu mmoja akiwa mbele..Drogba alikaa muda mrefu..kama Costa angekaa misimu kumi kama didier..angevunja record ya lamps..
 
Hata Mimi namshangaa sana
Nyinyi mna mahaba na drogba..labda kwa sababu ni muafrica mwenzetu..hoja zangu ni..angalia msimu wa kwanza wa drogba na Diego walifunga goli ngap ngap??nan alikuwa wa kwanza kufikisha goli 50..??angalia ratio ya goal per game..kama Diego angekaa at least misimu saba tuu..angekuwa all time goal scorer wa Chelsea...Costa ni jeshi la mtu mmoja...
 
Back
Top Bottom