Ndugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
Nimeipenda hii "Kitakachokuzamisha siyo kwasababu umetumbukia mtoni,bali ni kwasababu umeshindwa kuogelea."Kitakachokuzamisha siyo kwasababu umetumbukia mtoni,bali ni kwasababu umeshindwa kuogelea.
Kutafuta furaha ya moyo ni pamoja na kupoteza kinachokupa hiyo furaha.
Muache aende
Mkuu mimi sina ushauri wa dhati. Si busara kumwandikishia mpenzi wako mali zako na usilinde uhusiano. Usimpende sana na furahi kuumizwa. Fanya hivyo.Wakuu, naomba ushauri wa dhati. Je, ni busara kumwandikisha mpenzi mali zangu ili tu kulinda uhusiano? Nampenda sana, lakini naogopa kuumizwa. Nifanyeje?
Kwangu kukataa ndoa hapanaUwe unahudhuria vikao ili ujue misingi halisi ya kataa ndoa.
Nakuelekeza umuone KAIMU MWENYEKITI WA KATAA NDOA KANDA YA PWANI,Ndugu Natafuta Ajira akupe MIONGOZO.
Nakala moja uaiche masijala pale makao makuu ya KATAA NDOA ili waweke kwenye faili lako kama kumbukumbu.
Nawasilisha.
Kwa ushauri niliopewa nimefuta kabisa mawazo ya kuandika jina lakeAndika tu hasara roho pesa makaratasi
Kwa kweli mkuuMaelezo yake yanaonyesha kipaumbele chake, ambacho sio wewe, bali mali zako. Uhitaji ushauri zaidi.
Sio mke wangu na amenikuta nina kila kituUngeweka vizuri kwanza, ni mpenzi au ni mke wa Ndoa?
Je amekukuta ukiwa na hivyo vitu au umevipata baada ya kuoana?
Ukishajibu hayo, nitajua pa kuanzia kutoa ushauri
Huyo hata hayo magari hana, huwezi ukawa na hela afu ukawa huna akili kiasi hichoMiaka yote uliyotumia kuifatilia jf haijakusaidia kumbe!, wewe ni zwazwa kama mazwazwa mengine hili halikutakiwa kuwa hata swali hiyo ilitakiwa iwe tiketi yake!. mkuu na note jina lako nikikuona jukwaani sehemu yoyote nakudunda nimeghafirika sana!
Amekuzalia watoto wangapiNdugu zangu wanaJF, habari zenu!!!
Nimekuwa mfuatiliaji wa mada za JF tangu 2018 na nimekuwa nikivutika mno na elimu itolewayo hapa jukwaani lakini sikuona haja ya kujiunga kama member kwa kuwa nilihisi sina chochote cha kuchangia hapa,ila sasa nimeamua kujiunga rasmi ili kupata ushauri kuhusu tatizo linalonisumbua.
Mimi ni mtu mwenye hali nzuri ya kifedha. Nina nyumba tatu za kisasa na magari mawili (SUV ya kifahari na sedan ya kisasa).
Hata hivyo, hivi karibuni mpenzi wangu ambaye nipo naye mwaka wa tatu sasa ameniambia kwamba anataka niandikishe jina lake kwenye mali zangu, akisema kuwa nisipofanya hivyo basi huo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.
Nampenda sana na sidhani kama ningependa kumuumiza kwa kumkatalia, lakini watu wa karibu wamenishauri nisithubutu kufanya hivyo. Najiuliza, je, ni sahihi kumwandikisha jina lake kwenye mali zangu, au nifanyeje?
Nahitaji ushauri wenu wa busara.
Asanteni!!!
0Amekuzalia watoto wangapi
Sio kweliUna matatizo labda na hzo mali ni za urithi! hujatafta kwa nguvu zako.
Tafuta wakili mwandikie maktaba feki halafu usikie mbele ya safari ataropoka tu na ndio utajua rangi yake. Wewe hauna Mali yoyote zaidi ya makende
MkuuWakuu, naomba ushauri wa dhati. Je, ni busara kumwandikisha mpenzi mali zangu ili tu kulinda uhusiano? Nampenda sana, lakini naogopa kuumizwa. Nifanyeje?
😂😂We yaniniUmesema magari mawili?!
Usisubutu kufanya ujinga kama huo mpe chake tu wanawake wengi japo awafananiNdugu zangu wanaJF, habari zenu!!!