Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Acha Ufala Dogo...

Mwambie atafute mali zake aandikishe Majina yake...
 
Watu hawaandikishi wake zao , itakua mpenzi hapo toka nduki yani kimbia kabisa kabla hajakuendelea upande wa pili akakutie adabu
 
Kwanini unafuga mbwa kama hiyo fukuza hiyo mbwa haraka sana. Ukiendelea na tabia yako hiyo ya kingese unakua shoga siku sio nyingi, kama unataka kujua kiwango cha ujinga unaotaka kufanya mshirikishe mamako mzazi ndio utajua mamako anajuta kuizaa ng'ombe kama wewe...Kenge wewe... hicho kidemu vitakuwa vile vyembamba vyenye gubu vile vina ujinga sana, kitakuwa kimekuendea kwa mganga kakipa dawa kakiambia kikiropoka kitu chochote utakielewa tu si kimeshakuseti. Umeniudhi sana wewe jamaa.
 
Pole mkuu kwa kukuudhi ila sasa nimeshapata mwangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…