Dilemma: Je, nimwandikishe jina lake kwenye mali zangu au nikubali tuachane?

Mkuu siku hizi mali zote tunamuachia mama. Yaani ata ukitaka kununua boxer unampigia mama simu ndio akupe hela.
Hakimi kashatuonyesha njia ya kuishi na hawa kenge sasa wewe ukienda tofauti na muongozo wa rais wetu hakimi ujue utapigwa tuu
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Tokea umekuwa hapa JF toka 2018 ni nini umejifunza hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…