Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

Haya ma-deal yanafanywa na maaskari wengi sana ukibahatika lazima utoboe

Wakati wa JPM ilikuwa ilikuwa ni risk kusafirisha dhahabu na dhahabu yote ilikuwa inauzwa kwenye masoko ya dhahabu kwenye maeneo husika.

Kuna jamaa alibahatika kuchimba alafu akabahatika kilo 3 za dhahabu na kujaribu kuzisafirisha

Mamwera watatu wakamdaka baada ya kutonywa na wana

Jamaa katika kuwatuliza akawapa milioni 80

Badala ya kugawana pasupasu wakazungukana, mmoja akabeba mzigo wote ...

Guess kilichotokea, jamaa hana kazi na yuko mahabusu hadi sasa tangu mwaka 2020

Moral of the story

Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana
 
🤣😂😂😂, Acha jobless nitulie🤣😂🤒.
👉Afu nimeku pm
 
Sijakuelewa. Umesema wamegawana pasu lakini wakageukana. Hapo hapo unasema "Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana"

Which is which?
 
🤣😂😂😂, Acha jobless nitulie🤣😂🤒.
👉Afu nimeku pm
Huu uzi ndio utakaonifanya nijibu pm yako au niiweke pending....😅😅😅

Ila ningependa sana nione akina dada nao wakija kutoa mawazo na michango yao humu jinsi walivyofanikiwa kimaisha.
Maana naona uzi wote mmejaa wanaume.
 
Sijakuelewa. Umesema wamegawana pasu lakini wakageukana. Hapo hapo unasema "Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana"

Which is which?
👉Badala ya kugawana pasu pass, wao Waka zungukana.
👉Funzo: Kama mme piga deal gawaneni pass, kuepusha mzozo.
👉Bro Soma uelewe
 
Huu uzi ndio utakaonifanya nijibu pm yako au niiweke pending....😅😅😅

Ila ningependa sana nione akina dada nao wakija kutoa mawazo na michango yao humu jinsi walivyofanikiwa kimaisha.
Maana naona uzi wote mmejaa wanaume.
Dah 😂😂, hebu acha roho mbaya 😄.
👉We nijibu angalau nipone😁
 
dili la moto hilii sio poah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…