Dili gani ulipiga likakutoa kimaisha na sisi wengine tujifunze

Daaah kilo 3 kaka!
Nasikia dhahabu sahiv gramu 1 ni 159k ?
 
Mwaka jana,nikikuwa sjna hata mia mbovu,basi nikaangalia kwenye kimeo changu makampuni ya beting,nikakuta timu kadhaa,nikachagua timu 6 zenye odds kubwa sana,hesabu ilikuwa inasema nikioatia zoote napata m 35+,kama utani nikatia kasalio kangu hapo nikalala,naamka hamad nakutana na zigo ,nikatupa simu chini,kilicho fuata ni hadhith ndefu,kwa ufupi hiyo pesa ilinisaidia sana sana.msiache kubet waungwana.
 
Itakuwa imepanda baada ya dollar kupanda thamani dhidi ya shilingi ya Tanzania.

Wakati wa JPM gm 1 ilinunuliwa kwa shilingi 124,000 na hapo ni bei ya mwaka 2021
Imepanda kweli kabisa
BOT imefungua account ya gold hivyo sasshiv kuna fursa kwa wachimbaji wenye leseni kwenda kuuzia benki yetu ila wangefanya kuwezesha maana nilikuwa nasikiliza mwaka huu wana mpango wakununua dhahabu tani 6 kutoka katika makampuni na wachimbaji wakubwa hata wadogo.

Mkuu inaonekana una idea na hizi business?
 
Kama BoT wamefikia hiyo stage ni progress kubwa kwenye sekta ya Uchimbaji...

Kuna wakati nilifanya kidogo kwenye small scale

Nahisi sina interest tena baada ya kuona unaweza kuuza nyumba zako ili kuongeza mtaji ili kuendelea kusalia kuitwa mchimbaji mdogo 🙌
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…