M_tiler
Member
- Dec 6, 2016
- 12
- 18
Umetumia lugha ngumu au ni mimi na kichwa changu, ama?Siri ya mafanikio imejificha kwenye mkaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia lugha ngumu au ni mimi na kichwa changu, ama?Siri ya mafanikio imejificha kwenye mkaa
nikajua ni mimi tu sipendi miemoj hii 👉.arghh inachefuaUnasoma vitu vya maana gafla unaanza kukutana na ujinga ujinga plus emoj za kutosha.
Kwa wadada wengi Mbunye was in case 😂Huu uzi ndio utakaonifanya nijibu pm yako au niiweke pending....😅😅😅
Ila ningependa sana nione akina dada nao wakija kutoa mawazo na michango yao humu jinsi walivyofanikiwa kimaisha.
Maana naona uzi wote mmejaa wanaume.
Mie nimepitia biashara nyingi haramu pamoja na kupata hela kiasi ila ilikuwa risk sana nusu kufa nusu kukamatwa ikabidi nibadiri misheWakuu nimekua nikipambana bila mafanikio. Nimejaribu fursa mbalimbali lakini mambo bado bilabila.
Nimejaribu kufanya kilimo changamoto yake ipo kwenye umwangiliaji na soko, nimejaribu kutoa boda za mkataba lakini bado napigwa ngumi za pua.
Najua JF pana wengi na hapakosi kuwa na mengi ya kujifunza!
Hivi ulifanyaje fanyaje hadi ukatoboa? Ni vipi ulipatata financial freedom, dili gani ulipiga likakutoa kimaisha!
Kama ilikuwa ni mwaka 2003 itakuwa sahihi. Maana nyumba ulikuwa unaisimamisha kwa 15M tuMil 200, watu 3, kila m1 Mil 66.
Ko huyo Mil 66 ndo alijenga hostel za wanachuo na miradi mingne ametoboaa mazima?/
😂😂😂😂😂😂 umeamua kudili na wafu kama wateja wakoMie nimepitia biashara nyingi haramu pamoja na kupata hela kiasi ila ilikuwa risk sana nusu kufa nusu kukamatwa ikabidi nibadiri mishe
Sa hivi nauza majeneza ndo angalau nimeweza kupata pesa ya bila presha!
Ukipata location nzuri hii biashara inalipa sana trust me.
mtu anayetafuta bebi jua maisha yake hayana vipengele. Untaftaje bebi na huna kimango?Ebana naweza pata mke pale?! 🤔
Achana na hawa wanaotaka madili watoboe... sisi tukipata tubebi twa aina ile tushatoboa 👍🏾
Shida siku utakayokuwa umeweka hio bangi tu hofu itatanda usoni😂Kwani hili la bangi lina ugumu gani wakuuu? Maana naendeshaga gari Dsm hadi Mza, Arusha hadi Dom, naweza njia nzima nisimamishwe na trafik, ikitokea ni mara moja moja pia tena ukiwatangulizia elf 5 mkononi hawahitaj hata kuendelea kuongea na ww.
Je huo muda ukiwa umejaza bangi kwenye boot si unatamba tu au?
sio poah mkuuUtajiri una siri nyingi, mbaya zaidi watu matajiri hawapo tayari kukwambia hata iweje.
Wanakutia tu moyo, ooh fanya kazi kwa bidii. Jitume
Ila nyuma ya pazia ni balaa na nusu
noted,mbwa dumeMie nimepitia biashara nyingi haramu pamoja na kupata hela kiasi ila ilikuwa risk sana nusu kufa nusu kukamatwa ikabidi nibadiri mishe
Sa hivi nauza majeneza ndo angalau nimeweza kupata pesa ya bila presha!
Ukipata location nzuri hii biashara inalipa sana trust me.
[emoji23][emoji23][emoji23]ni vyema halali
lakini kwa usawa huu weka lolote tuone nafuu ikowapi
Msema kweli mpenzi wa MunguIweke vzr deal mlizokuwa mnapiga. Hata kama ile ya mikatabu ya kinyonyaji mkipewa % wewe sema tu.
Vipi yule aliyetoa million 80 aliishiajeHaya ma-deal yanafanywa na maaskari wengi sana ukibahatika lazima utoboe
Wakati wa JPM ilikuwa ilikuwa ni risk kusafirisha dhahabu na dhahabu yote ilikuwa inauzwa kwenye masoko ya dhahabu kwenye maeneo husika.
Kuna jamaa alibahatika kuchimba alafu akabahatika kilo 3 za dhahabu na kujaribu kuzisafirisha
Mamwera watatu wakamdaka baada ya kutonywa na wana
Jamaa katika kuwatuliza akawapa milioni 80
Badala ya kugawana pasupasu wakazungukana, mmoja akabeba mzigo wote ...
Guess kilichotokea, jamaa hana kazi na yuko mahabusu hadi sasa tangu mwaka 2020
Moral of the story
Kama mmepiga deal hakikisha mnagawana mtonyo pasupasu kuepusha kuuana na kuchomeana
Alifanikiwa kwenda kuuza mzigo wake, hopefully alipata hasara kidogo ya ile 80M aliyowapa Mamwera.Vipi yule aliyetoa million 80 aliishiaje
Mara nyingi hizi deal, kukamatwa huwa kunatokea ukichomwa.Hii Tanzania kusafirisha bangi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni rahisi sana. Mimi ningepata connection ya wapi natoa na wapi nauza hii kitu ningeifanya.
Sahv ni 50/50Kwa wadada wengi Mbunye was in case 😂
Ukiingiza kama skrepa halafu ukaiasembo ile registration unaipataje hapa kutoka tra? Hebu tujuze mdau.
Mkuu sio bangi tu. Halamu yoyo kusafirisha ni rahisi, juzi nimetoka tabora mpaka dar nagari hakuna ata seemu moja nimeo gari ikisachiwa. Kifupi ukiona umekamatwa ujue kanamtu umezinguana nae kakuchomesha..
Na itakuwa Tarime ndio border yako ilikuwa MkuuHizo shughuli haram nime-escort sana bidhaa border to border ukiangukiwa tu tambua kuna mtu kakuuza huwa sio rahisi kukamatwa na mfukoni jitahidi uwe vizuri na gari ndogo iwepo, telekeza mzigo hata mwezi 1 then rudi kiaina kama sio riziki yako achana nao kuepusha mengine kikubwa uwe free na ujue ni wapi ulikosea