Huo ndiyo "mchanganyo kwenye Qur'an"?πΎπ€πππ¦π π’ππ πππ ππ ππβππ π π πππ...ππππ βππ‘πππ π‘ππππ’π‘π π¦π πβππ ππ ππ’πππ πππ π ππππ ππ! πππβππππππ¦π πππππ...!
Unajua nini mkuu,..Dunia hii ni kubwa mno vivyo hivyo elimu ni pana mno..It is simply illusion, au call it trick za waganga. Hakuna muujiza hapo.
Ingia Youtube, andika magic tricks utaona vile unavyoamini ni miujiza kumbe ni tricks.
Siku hz kuna mpk shule za tricks!.
Hayo ni mazingaombe/kiini macho kama yale ya enzi za shule ya msingi, mtu anakuja kakatwa panga kichwani na damu zinatoka au anatobolewa tumbo utumbo unatolewa nje mnalipa pesa!
Pale dawa ilokutibu ni ile mitishamba uliyofukizwa. Issue ya chura ni kukoleza game!
Una uhakika gani kama ni tricks?
atleast ungefanya research na sio kufanya assumptions na kudhani unajua kila kitu kwenye hii Dunia....huo ni ujinga wa kiwango cha standard gauge
Tena Kwa kukurupuka unasema eti nimejazwa utu uzimani na story inasema ATM nilikua kwenye miaka 10 hivi...huoni kama haupo makini[emoji114]
This world is so wide and vast.... Knowledge is so wide we only know a few percentage 0.0001% of what we have to know,.usichokijua wewe wengine wanakijua au kupitia kabisa...kitu gani kinakupa ujasiri wa kuona kila kitu ni tricks?Inachekesha[emoji1787]
Mkuu,tembea uone una elimu ndogo niamini Mimi hata kama umefika level ya PhD lakini kwenye jamii na mazingira tunayoishi kuna elimu kubwa zaidi ya Ile ambayo unaamini unayo.Tatizo lenu mnao amini supernatural mnaamini kila kitu kinawezekena........ na ndio watu mnaongoza kudanganywa na kutapeli na wachungaji na waganga feki
Mtu mzima kabisa na akili zako timamu unaamini ulitapika chura kwa trick uliofanyiwa ukiwa mtoto....... hakika imani ni shambulio la akili
Nimekuambia mimi nimeona mazingaombwe mtu anatapika njiwa nikiwa primary school
Mnapenda kujifariji na kujificha kwenye elimu ambayo haipo
Hawa matapeli wanasaidiwa na serikali ya CCM. Serikali siku zote imekuwa ikifyatua wajinga ambao kimbilio lao ni kwa hawo manabii wa unongo huku kizazi kizima kikizidi kutumbukia kwenye mazingaombwe ya mitume na manabii feki huku wakikamuliwa fedha za sadaka ya kujimaliza kila kukicha.ππ π’πππππ π’πππππ π’ππ ππ€ππ βπ, πΎπππππ ππππ π€π πππ’πππ§π πΉπππ ππππ βππ π€πππ? πΊπ€πππππ πππ’ππ’π πππ π’ππ’ππ ππππππ§π π¦πππ π¦πππππ βππ π€πππ? πππ ππ‘πππ π€ππ ππππ π’ππ πππ’ππ€π ππ π€ππππππ βππ€πππ βπ ππ§
Mkuu,tembea uone una elimu ndogo niamini Mimi hata kama umefika level ya PhD lakini kwenye jamii na mazingira tunayoishi kuna elimu kubwa zaidi ya Ile ambayo unaamini unayo.
Ili ujifunze vitu inabidi uwe open minded kuwa free kujifunza ukishasoma elimu rasmi ya mashuleni na vyuoni kuna elimu hii ya kwenye mazingira yenyewe pia ni kubwa mno,..sio kama hivyo umekaa unaamini eti miujiza haipo.
Mfano,.Ushawahi kumuona mtu ambae amekua Demon possessed?!
Ila naamini hii arguments hatuwezi kufikia hitimisho,..siku likikufika jambo ndiyo utajua Dunia ina mengi ya ku offer mkuu.
Ili ujifunze vitu inabidi uwe open minded kuwa free kujifunza ukishasoma elimu rasmi ya mashuleni na vyuoni kuna elimu hii ya kwenye mazingira yenyewe pia ni kubwa mno,..sio kama hivyo umekaa unaamini eti miujiza haipo.
.
Hii conversation ipo moto..[emoji1787]Mbona jamii forums kila kukicha threads za kupinga dini afu mtaani kila mtu anaenda msikitini na kanisani..[emoji16]Hawa ma atheists mbona mtaani hawaonekani..au tunanafkiana
π€£π€£Haya mabasi yenu mpaka mnapiga story jau..ila nimekuelewaNilipanda basi la Simba mtoto kuelekea Tanga
Ukaanza mjadala kuhusu eti kuna watu hawaamii kama Kuna Mungu
Mimi nikasema hata mimi siamini kama yupo..... Astaghafilulah zilipigwa na basi zima aiseee
Kidogo wanishushe kwenye basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekoma kujadiliana mambo ya Mungu na wananzengo mitaani wanaweza kukuua aisee
Shida ipo kwenye tafsiri ya muujiza
Kila unachokiona ni muujiza
Maisha yako yote ni muujiza
Kuamka mzima leo ni muujiza
Wewe mwenyewe ni muujiza
Mungu yupo tena anaonekana
Ila haonekani kirahisi rahisi kwa wazembe kama nyie
[emoji1787][emoji1787]Haya mabasi yenu mpaka mnapiga story jau..ila nimekuelewa
Kuwa demon possessed na Tatizo la afya ya akili ni vitu viwili tofauti...Nina mtoto wa ndugu yangu alikua na matatizo ya afya ya akili na kifafa
Mama yake aliaminishwa na waganga katupiwa majini akahangaika sana bila mafanikio
Akahania kwa akina Kakobe akaambiwa ana mapepo
Akaombewa sana mcha na usiku
Tukaingilia kati apelekwe hospitali
Akagundulika ana matatizo ya afya ya akili na alikua seizure
Ametumia vidongo na hivi sasa angalau anaunafuu mkubwa sana
Na anavyozidi kukua kifafa kimeisha imebakia changamoto ndogo ndogo
Huyu ungekuwa wewe ungesema amekua demom possessed
Hakuna kitu kinaitwa Mungu malaika shetani peponi motoni uchawi majini na upuuzi mwingine kama huo
Anhaa vizuri Kwa kuwa open minded,...hata Mimi utotoni niliaminishwa Mungu yupo.Mkuu mimi ni mtu very open minded
Nimetumia umri wangu wa miaka 30 kujiridhisha kama Mungu yupo au la
Nilianza kwa kumuamini baada ya kuaminishwa toka utotoni
Kisha nikaanza kumtafuta baada ya kuwa mtu mzima
Nimejiridhisha pasi na shaka ya ziada kwamba hakuna Mungu
Kama Mungu hayupo basi mambo yote mengine yanayo mzunguka kama uchawi malaika pepo mbiguni shatani nk ni hekaya kama za abunuwasi kutoka kwenye simulizi za kale
Miujiza? How?Shida ipo kwenye tafsiri ya muujiza
Kila unachokiona ni muujiza
Maisha yako yote ni muujiza
Kuamka mzima leo ni muujiza
Wewe mwenyewe ni muujiza
Unajuaje tofauti?Kuwa demon possessed na Tatizo la afya ya akili ni vitu viwili tofauti...
Au wewe ukiwaona wale walemavu wa afya ya akili ndiyo unawachukulia kama demon possessed?