Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Wewe unaamini yesu aliletwa na wakoloni kwaajili ya waafrikana wajinga au ulimwengu wote?

Kama ni ulimwengu wote kwanini kwingine asipelekwe kwa nguvu iwe Afrika tu?
 
We jamaa Una matatizo Gani Lakin
Wewe ndiyo unamatatizo kutokujitambua na kugundua kuwa walioleta habari za yesu ndiyo walewale walioleta habsri kuwa waafrika wametokana na manyani nacwakati huo huo wakidai ametokana na adam na hawa.

Hapa huna haja ya kutaka kutumia nguvu nyingi kutambua habari nyingi za hawa watu ni uongo
 
Mjinga hawezi badilika hasa anapozaliwa na kukulia ktk familia inayoamini ujinga.

Hivi umewahi kujiuluza biblia imeshushwa au imeandikwa mwaka gani?

Kwahiyo Mungu alishusha biblia kupitia kwa wakoloni kuileta Afrika na alishindwa nini kuishusha Afrika mojamoja?

Je huko china,India,japani,nk umewahi kujiuliza kuwa walishusha kitabu gani????
 
Acha uongo bwana wanasayansi wengi walimuamini Mungu kupitia imani zao siyo imani ya kikiristu na kunawengine walikuwepo kabla ya ukristu.

Usiishi kwa kukariri jaribu kujiongeza na kutafakari wewe mwenyewe na kupima ukweli.
 
Kwahyo kama maandiko yamepotolewa sasa unawezaje kuamini kwamba hata hicho unachosadiki kimepotolewa...
 
Kafara siyo dhambi ni sehemu ya ibada na inajibu kwa wanaoiamini ilimradi isiwe na madhara,wewe unachoamini umekirithi kwa wazazi wako kama ulivyorithishwa hutaki hata kujiongeza au kuisumbua akili yako
 
Kwenye title yako umesema dini ni kwa low minded people, genious cant be trapped hivyo kati ya low minded na genious hapa katikati hamna wengine...like us ordinary who we dont claim to genious and we dont see ourself as low minded!!?
 
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.

Zaburi 53:1
Nina swali Kama Kichaa akikuita wewe Daktari wake Ni kichaa na akakazia kabisa...Nani kati yenu atakuwa kichaa?
 
Mkuu,

Kuna mtu nilimwambia kuhusu contradictions zilizo katika Biblia. Nikamuwekea mamia ya aya zinazoji contradict hapa.

Jamaa kakimbia hajajibu.

Mtu yeyote anayekubali Biblia ni kitabu cha Mungu kisicho na makosa anatakiwa kujibu hizo contradictions.
 
Sidhani kama kuna mtu ataweza kuzijibu kama umeona huyo jamaa kabadili kauli mwanzo alisema biblia haina makosa wala contradiction...
Sanasana huo ukoo wa yesu uko clean kabisa...
Nimempa contradiction kasema biblia imechafuliwa na watu kwa faida zao ila zaman haikuwa hivyo...

Sasa nashangaa kitu kimoja kama unaamini kama biblia imechafuliwa na bado unaiamini tukiwaita wao kuwa Low Minded people kwanini wanakataa?

kuna mambo yanafikirisha sana yani mtu anakubaki kuna makosa na anajua pia ni kosa ila hataki kukubali kwamba hayo makosa ndo njia ya yeye kuutafuta ukombozi wa kifikra kuona alipo si sahihi..
 
Niliandika awali kuhusu saikolojia ya "cognitive dissonance" kwa watu wanaoamini Mungu.

This is exactly what I was talking about.
 
Topic hii itakuwa tough sana kwao kwasababu hawaruhusiwi kuuliza maswali wala kukosoa.

Wanatakiwa waamini tu. Zaidi ya hapo wataambiwa wamekufuru.
 
Kwahyo kama maandiko yamepotolewa sasa unawezaje kuamini kwamba hata hicho unachosadiki kimepotolewa...
Jibu ni jepesi jua msingi wa dini halisi ambao upo katika kujua mema na mabaya na kufuata mema na kutokutenda mabaya ......haki na kweli ni moja wapo ya misingi ya dini
 
Uislam upi unaousema kuwa ni dini ya kwanza?

Msiwe mnakiriri kila kitu mlichohadithi bwana,wewe sema ni dini ya kuja uliyoiangukia kwa ujinga wako dini ya kwanza duniani nimekuwekea hapa chiniView attachment 2825731
Sasa hapa umefanya nini kijana ? Hii dini ya miaka 3000 B.C ilikuwa inaitwaje ? Habari hizi zimeandikwa na nani na wewe umezipata wapi ?
 
😂😂😂Mungu anitokee ndo aniambie Sio nisome vitabu uchwara...bible imeundwa na watu ili itumike kutawala na kutumikisha watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…