SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Why Mungu asiwe fair wote tupate fair chance...why Mungu aumbe watoto wadogo wenye matatizo ya ubongo... ?Hara kati ya binadamu siyo wote wanahesabiwa dhambi wapo wagonjwa awa akili baadhi awahesabiwi zambi watoto wadogo nk ....dhambi inahesabiwa kwa wenye akili timamu yenye kuweza kujua mema na mabaya
nielezee binadamu na viumbe vilitokanaje weka fact maana mm nmesoma hizo theory za evolution sijaonafact yoyote ambayo unaweza kuprove mindi u nmesoma hyo koz chuo kikuu nieleweshe hapo Kiranga alitokana na nyani au cynobacteria?? ilikuwaje kuwajeHakuna muujiza katika sayansi.
Unaelewa hilo?
Then kwakuwa Waislamu wanatumia baadhi ya watu,Sifa na baadhi ya maandiko yenye chimbuko la Biblia (Torati,Injili,zaburi)😂😂😂Bac umeshakubali biblia Ina makosa ya kibinadamu it means it's made by men...sio word of god...so ni novel tu..haya yaishe
😂😂😂So solution yako ni kuamini an invisible man ambae kajiumba kaumba dunia ndani ya siku sita..na kamweka nyoka anayeongea katika bustani yenye wanyama wote duniani na watu wawili mmoja wa udongo mwingine wa mbavu...😂Bora nijaribu kuelewa evolution kuliko hizi story za nurserynielezee binadamu na viumbe vilitokanaje weka fact maana mm nmesoma hizo theory za evolution sijaonafact yoyote ambayo unaweza kuprove mindi u nmesoma hyo koz chuo kikuu nieleweshe hapo Kiranga alitokana na nyani au cynobacteria?? ilikuwaje kuwaje
Kwenye sayansi kuna vitu vinavyojulikana na vitu visivyojulikana.nielezee binadamu na viumbe vilitokanaje weka fact maana mm nmesoma hizo theory za evolution sijaonafact yoyote ambayo unaweza kuprove mindi u nmesoma hyo koz chuo kikuu nieleweshe hapo Kiranga alitokana na nyani au cynobacteria?? ilikuwaje kuwaje
Hayo makosa ukiwa na akili yanajulikana biblia inasema wacha magugu yakuwe pamoja na nafaka ....magugu yanajulikana mfano madhehebu ni gugu ....mungu kuwa na nafsi 3 ni gugu ....watu wenye uchu na pesa kujiitamitume ni gugu nk[emoji23][emoji23][emoji23]Bac umeshakubali biblia Ina makosa ya kibinadamu it means it's made by men...sio word of god...so ni novel tu..haya yaishe
UpuuziYes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Hao watoto wadogo wenye matatizo ni nehema kwao na wanaokufa utotoni maana awata hesabiwa dhambi ...wewe utawaonea wivu siku ya hukumu ..ukitamani na wewe ungekuwa kama wao dunianiWhy Mungu asiwe fair wote tupate fair chance...why Mungu aumbe watoto wadogo wenye matatizo ya ubongo... ?
Hapo umerudi kwenye dhana potovu ya madhehebu maana ndiyo watu wanatumikishwa na wanadamu wenzao ...ila ukristo wa kweli ni kumtumikia bwana tu yesu mwenyewe kasema usiwepo mtu yoyote wa kuwa bwana isipokuwa mungu[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu anitokee ndo aniambie Sio nisome vitabu uchwara...bible imeundwa na watu ili itumike kutawala na kutumikisha watu
Msingi wa dini unaujua ? Ukijua msingi wa dini basi ni rahisi kujua ngano na gugu ....msingi wa dini ndiyo kipimo cha kutambua neno la kweli la mungu na neno la uongo la shetani ...inaelekea wewe ujui kwanini yesu alijaribiwa mara 3 jangwani yake majaribu yalikuwa na lengo gani kutufundisha sisi kitu ...msingi wa dini ndiyo huuKwahyo kama maandiko yamepotolewa sasa unawezaje kuamini kwamba hata hicho unachosadiki kimepotolewa...
Kila mtu Hujaribiwa na Tama yake mwenyewe..Msingi wa dini unaujua ? Ukijua msingi wa dini basi ni rahisi kujua ngano na gugu ....msingi wa dini ndiyo kipimo cha kutambua neno la kweli la mungu na neno la uongo la shetani ...inaelekea wewe ujui kwanini yesu alijaribiwa mara 3 jangwani yake majaribu yalikuwa na lengo gani kutufundisha sisi kitu ...msingi wa dini ndiyo huu
1) HAKI (KUJUA MEMA NA MABAYA )kisha kutenda mema tu
2)KWELI
3)UHADILIFU
4)WEMA(UPENDO)
achana na mambo ya squreroot jibu swal nipe ukwel.wa alikotokea Kiranga alitokeqje tokeaje nipe factvna siyo kuzunguqqka swalnna bra braKwenye sayansi kuna vitu vinavyojulikana na vitu visivyojulikana.
Sayansi ni mchakato endelevu, haujamalizika, hivyo, hauna majibu yote.
Wanasayansi wanajitahidi kupunguza visivyojulikana na kuongeza vinavyojulikana.
Kwa nadharia, experiemets, observation, peer review etc.
Na tunaweza kujua jibu fulani si sahihi, hata kabla hatujajua jibu sahihi ni lipi.
Yani ni hivi, tunaweza kujua square root ya 2 si 10, bila hata kujua square root ya 2 ni nini.
Tunaweza kujua kwamba mwanamme mwenye miaka 30 leo, ambaye hamjui mama yake mzazi, hawezi kuwa na mama mzazi mwenye umri wa miezi 6 leo. Hata kama hatumjui mama mzazi wa huyo mwanamme.
Tunaweza kujua kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote si chanzo cha ulimwengu huu, hata kama hatujui chanzo cha ulimwengu ni nini.
Mimi ninachosema ni kwamba, watu na viumbe wengine hawajatokana na kuumbwa na Mungu huyo. Naweza kusema hilo kwa uhakika, bila hata kujua wametokeaje.
Katika kutafuta jibu, tunaweza kutafuta jibu limelalia upande gani kwa kufanya "elimination method", kuindoa upande usio sahihi, na kujua kwamba, hata kama hatujajua jibu kamili ni lipi, tunaweza kujua kwamba jibu haliwezi kuwa upande fulani.
Ndivyo hivyo tunajua kwamba, square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa kuliko 2, hivyo, mtu akituambia kuwa 10 ni square root ya 2, tutajua huo ni uongo. Bila hata ya kujua square root ya 2 ni ipi.
Mimi sijawahi kusema najua chanzo cha watu na viumbe ni nini, na wala sihitaji kujua chanzo ili kujua kwamba chanzo si Mungu.
Mimi ninasema kwamba chanzo cha watu, viymbe, ulimwengu, si Mungu huyo, kwa sababu tumeweza kuonesha kuwa Mungu huyo hayupo.
Hapa n8nekuja kusema kwamba, 10 haiwezi kuwa squarw root ya 2. Naweza kujua hilo bila hata ya kujua square root ya 2 ni ipi.
Wewe unaniukiza, square root ya 2 ni nini?
Mimi sijawahi kusema naijua square root ya 2 ni nini. Nimesema tu kwamba 10 haiwwzi kuwa squarw root ya 2, na naweza kujua hilo bila hata kujua square root ya 2 ni nini.
Do u trust in religion teachings?Kwenye title yako umesema dini ni kwa low minded people, genious cant be trapped hivyo kati ya low minded na genious hapa katikati hamna wengine...like us ordinary who we dont claim to genious and we dont see ourself as low minded!!?
na hapo ndo akili zinapodharauliwa, yaani kuna mambo wasiyoyajua na wanatakiwa kuyajua ila hawaruhusuwi kuhoji, ni kujibu tu Amiiin...Amina!Topic hii itakuwa tough sana kwao kwasababu hawaruhusiwi kuuliza maswali wala kukosoa.
Wanatakiwa waamini tu. Zaidi ya hapo wataambiwa wamekufuru.
Mbona jibu rahisi?achana na mambo ya squreroot jibu swal nipe ukwel.wa alikotokea Kiranga alitokeqje tokeaje nipe factvna siyo kuzunguqqka swalnna bra bra
Swala la haki ni muhimu hata kama dini zisingekuwepoOngelea na kushuhudia uzao ulio na historia nao acha uchawa wa dini,hakuna mwafrikana anayejua ukweli juu ya yesu wote mlidanganywa na mkadanganyika juu ya dini za kuja.
We huna cha kushuhudia kwani hijui na huwezi kujua historia ya mbali zaidi kuliko ya ukoo wako.
ACHENI UJINGA
Sasa hilo pia la kuuliza si ana wazazi waliomzaaachana na mambo ya squreroot jibu swal nipe ukwel.wa alikotokea Kiranga alitokeqje tokeaje nipe factvna siyo kuzunguqqka swalnna bra bra
Hiyo ipo ndani ya moyo wa mwanadamu hata kama umjui mungu ila ndani ya moyo wake ujua mema na mabaya ....kujua mema na mabaya kupo hata katika logic ya kuwatendea wengine yale ambayo wewe unapenda kutendewa na kuto watendea wengine yale ambayo wewe upendi kutendewa.Upi mstari wa kujua mema na Mabaya kwako wwe