Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Wafrica walilazimishwa Dini za ulaya kwa mtutu wa bunduki
 
Walileta injili kutoka wapi?

Huyo mungu kwanini asitufikie yeye mwenyewe kama alivyowafikia hao wazungu na waarabu?

Kama mpaka leo hujui wamisionari ni majasusi wa mataifa makubwa kwa mgongo wa dini basi elimu yako haijakusaidia kitu.
 
sasa hapa mkuu unataka kusema tuachane na dini hizi tufuate zipi?
 
Unataka kusema marais tulionao wafuasi wa dini ni low minded, vipi kuhusu madaktari, tena tuna madaktari wa dini/dhehebu fulani nao ni low minded sio ma genius?
 
Kuwa proffesion wa kitu fulani haidetermine una akili.
 
Self awareness and determination ni muhimu zaidi kuliko kufata dini ambayo ni just fiction stories.
kwa waislam hakuna self awareness and determination, wale wako tayari kuua ili kulinda dini yao, huko unasemaje?
 
Kumbe unakubali kwamba mahubiri haya ni uongo, ila tunakomaa nayo tu ili tuonekane tuna msimamo?
mkuu nimeonja kipawa, sitataka kuasi, sitaikana imani niliyoipokea namuomba Mungu anipe hekima na busara kuijua kweli. Kweli itaniweka huru
 
kwa waislam hakuna self awareness and determination, wale wako tayari kuua ili kulinda dini yao, huko unasemaje?
kwa hiyo kuwa tayari kuua kwa ajili ya dini Yao ndio kukosa self awareness na determination kwa waislam ? vp ma Atheists na polytheists wa Sehemu nyingine ambao wapo tayari kuua kwa ajili ya mataifa Yao,tawala zao nk?
 
umeambiwa hao hawaamini dini, maana yake wana high minded na ni ma genius
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…