Wazazi walio walioumbwa na MUNGU ndiyo walienda wakiambizana uwepo wa MUNGU kama wewe ulivyoambiwa uwepo wa MUNGU kupitia kwa WAZAZI wako walioambiwa na Babu na Bibi zako.
Tatizo ni kwa WAAFRIKA juu ya kutohifadhi historia yao na kuvurugwa na mapokeo ya historia waliuoambukizwa na wazungu kwa kuaminishwa kwa nguvu kuwa historia ya WAAFRIKA haikuwa ya kweli.
Kwa mtu anayefikiri kwa upeo wa juu ni kujiuliza tu je ni nani aliwezesha uwepo wa viumbe wa jinsia mbili na vikiwa tofauti kwa AINA na MAKUNDI mbalimbali.
Kuna watu ambao aina tofauti mcjina,mwafrika,mhindi,mwarabu,mjapani,n.k. na pia kuna wanyama tofauti mbwa,mbuzi,kondoo,bata,simba,n.k.
Je hivi vyote nani aliwezwsha?