Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Logical non sequitur.

Naku uliza hivi [emoji116]

Adam na Hawa walikuwa waafrika weusi, wazungu weupe, wahindi, waarabu, wafilipino, wachina au Wajapan?

Jibu swali acha viroja.
Katafute biblia uisome vizuri,,

Then uje kuniuliza maswali yanayoeleweka.
 
Inaonekana kuna tatizo kwenye uelewa wako, Unajua nmemaanisha nini kuandika hayo nliyoyaandika ? Niambie namna ulivyoelewa...
 
Nikijibu kuwa walikua wazungu, Wachina au Wa Africa utakua umeshapata uthibitisho kuwa Mungu yupo ?
Adam na Hawa walikuwa ni race ya walioiandika na kuimiliki biblia na kupata hakimiliki/copyright ambapo ni wazi ni wakoloni wa kizungu.

China hawakuitawala Afrika kupititia ukoloni ndiyo maana movie zote za kibiblia zinareflect wazungu
 
Dini kazi yake ni kucheza na akili za watu, ili watu waishi kwa amani. Hofu ya Mungu ndiyo inayotumika. Ila waanzilishi hawana hofu kazi ni kupiga pesa kwa kutumia watu waliopumbazwa.
Mimi sio muumini sana wa dini, Ila ni muumini wa Mungu mmoja

Ila nngeomba utupe mfano wa hao waanzilishi ambao hawana hofu wanapiga pesa,
Naomba list ya majina yao niwafahamu chief
 
Dini kazi yake ni kucheza na akili za watu, ili watu waishi kwa amani. Hofu ya Mungu ndiyo inayotumika. Ila waanzilishi hawana hofu kazi ni kupiga pesa kwa kutumia watu waliopumbazwa.
Waanzilishi wa dini bado wapo tu hadi leo? Au unataka kusema wakina Mwamposa ndio waanzilishi wa dini ambao ndio wanapiga pesa au hawa masheikh wenye kulipwa afu 3 kwa mwezi malipo ya kufundisha mtoto madrasa?
 
HIVI BADO KUNA WATU WANAAMINI ETI EVA ALIDANGANYWA NA NYOKA [emoji1787]
 
"Kiongozi mkubwa wa dini akakuhakikishia "

Unataka kutuambia yeye ndiye mwenye mamlaka hayo ?

Sawa tueleze alikuhakikishia how ? Nasisi tujifunze
Yaani stori za nyoka kuongea na ww haukusimuliwa enzi za utoto? unazikumbuka hadithi za sungura na fisi? haihitaji mie kukuaminisha, just use yo brain kuona udanganyifu!
 
Mungu alikua na maana yake kuumba huo utofauti, Na ni viumbe wote ipo hivyo,, Yani inatofautiana rangi kati ya mmoja na mwingine ( Mbwa, mbuzi, Ng'ombe hata mimea ipo kwa rangi nyingi tofauti tofauti )

So point yako naona haina mashiko
Rafiki, ulisoma kidogo hata issue za Kingdoms? unajua maana ya species?

Adam na Eva ni hadithi tu, ilitumika kama mfano. Simple qn, Kaini alimuoa na na akapata watoto wkt huo kulikua na Adam na Eva tu? mke wa Kaini alitoka wp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…