Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Umeandika kwamba mambo yakienda mrama watu watatafuta muujiza.

Kutafuta muujiza hakuna maana kuwa muujiza upo.

Kama vile wewe kutafuta dollar bilioni moja nyumbani kwako, kama haipo, hakuifanyi iwepo.

Umeelewa?
Anzia mwanzo usibadili ujumbe wa msingi, vipi mbona kama unasoma huku unasinzia wewe?
 
Hahaaa😅😅😅 kwani nimeanzia hapo brother, mbona nimeelezea sana nilipokuwa najibu hoja zako katika post za awali. Tatizo lako unakimbia hoja ya msingi na kuangalia wapi utajitetea
 
Anzia mwanzo usibadili ujumbe wa msingi, vipi mbona kama unasoma huku unasinzia wewe?
Umekubali kwamba watu kutafuta au kutotafuta muujiza ni moot and irrelevant point kwa sababu kama muujiza haupo, hata watu wakiutafuta, huko kuutafuta kwao hakufanyi muujiza uwepo?
 
Hahaaa😅😅😅 kwani nimeanzia hapo brother, mbona nimeelezea sana nilipokuwa najibu hoja zako katika post za awali. Tatizo lako unakimbia hoja ya msingi na kuangalia wapi utajitetea
Mpaka sasa bado huja define uchawi ni nini.

Nimekuuliza uchawi ni nini?

Umenijibu uchawi ni uchawi.

Inaonekana wewe mwenyewe hujui uchawi ni nini.
 
Nimekuuliza, tukio ambalo hatulielewi leo na halina majibu ya kisayansi, ukasema ni uchawi.

Kesho tukalielewa na tukapata majibu ya kisayansi ambayo hayahitaji dhana ya uchawi kulielezea hilo tukio, bado utaliita uchawi?

Ukiliita uchawi, huoni kwamba hapo utakuwa umevuruga definition yako ya uchawi?

Ukisema hili si uchawi, kwa maana tumepata maelezo ya kisayansi ya kulielezea vizuri, bila kuhitaji dhana ya uchawi, huoni kwamba hapo unaweza kuita mambo mengi uchawi leo kwa sababu hatujayajua kisayansi, wakati kiukweli mambo hayo si uchawi, hatujayajua vizuri kisayansi tu, na tukiweza kuyajua tutaona si uchawi?

Nimetoa mifano ya mababu zetu walivyoona mambo mengi ya wazungu uchawi, redio, magari, bunduki, kutabiri kupatwa kwa jua etc.

Lakini leo tumeyajua haya mambo kisayansi, tumejua si uchawi.

Huoni kwamba hiyo definition yako ya uchawi inakuweka katika position waliyokuwapo hao mababu zetu walioamini teknolojia ya wazungu ni uchawi, kwa sababu hawakuielewa tu?

Huoni kwamba na wewe umejipa tabia ya kuvipa vitu usivyovielewa jibu la rahisi la uchawi, wakati kuna uwezekano mkubwa si uchawi, ni mambo ambayo hujayaelewa vizuri tu?
 
Endeleeni... Kwa kigezo hakuna Mungu, watu wapumbavu huwaza kuwa hakuna Mungu(biblia )huu upuuzi wako biblia ilishauandika tiyari
Walioleta mambo ya kufirw ndio hao walioitengeneza biblia na huyo mungu wenu, saivi ndio hao wanaotetea haki za mashoga, kwa maana wanatumia hiyohiyo biblia kwamba, mpende jirani,usimbague binadamu, so kama jiran yako ni shoga inabidi umpende kwa maana ni amri,
 
Dini na sayansi kwnye uislam uko wazi kabisa watafute wataalam akiwemo sheikh mmoja huwa hampendi mwamposa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huwa namfitilia san mafundisho yake
 
Nimesema mkubwa, hao uliowataja hamna hata mmoja nnaemjua.
 

Mkuu wewe binafsi(sio kuhadithiwa) umewahi kushuhudia muujiza wowote?
 
Mkuu wewe binafsi(sio kuhadithiwa) umewahi kushuhudia muujiza wowote?
Miujiza ipo,..na Mimi ni miongoni mwa watu waliowahi kushuhudia muujiza Kwa macho yangu mawili.

Au unataka useme kwamba miujiza ni story tu?,..

Kumbuka kwamba miujiza ni elimu ya sayansi ambayo hatuna elimu juu ya utendaji kazi wake bali huwa tunaona matokeo yake tu.,

Kwa mantiki hiyo kitu ambacho ni muujiza kwetu,..Kwa mjuzi/wajuzi wenye elimu juu ya jambo husika inakua sio muujiza bali ni elimu tu inatumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…