Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Unaweza kuonyesha tusi ulilotukanwa? Mbona unajishtukia?[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona matusi bro nishawahi kukufira au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuonyesha tusi ulilotukanwa? Mbona unajishtukia?[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona matusi bro nishawahi kukufira au
Where did I say me ni homosexual? Weka hio quoteUnaweza kuonyesha tusi ulilotukanwa? Mbona unajishtukia?[emoji848]
Where did I mention you Sir/Madame?Where did I say me ni homosexual? Weka hio quote
We ni kama kasuku, Yani ubongo wako haujishughulishi kudadavua mambo....Kwa hiyo kila kinachoitwa maarifa unabeba kama kilivyo !?? Ndio maana huwa kunakua na maswali kwenye kila jambo, Kama ambavyo na wewe unauliza maswali kuhusu Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]Bac elimu imesema kuhusu evolution haya iamini....case closed...kalale na achana na Mimi..
Sayansi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo ilishathibitishaHapana, mpaka pale sayansi itakapothibitisha kuwa Mungu wa miujiza hayupo ndo imani juu ya Mungu itakuwa imepingana na sayansi. Kumbuka wanaoamini katika Mungu hasa kwenye ukristo na uislamu mfano, huamini kuwa Mungu yupo toka milele anajua yote lakini sayansi haijui yote, kila baada ya muda fulani ndo wanasayansi wanakuwa wamepiga hatua fulani katika kufanya uvumbuzi. Sayansi inakua lakini Mungu hana cha kuongeza anajua yote from beginning.
Hii ni kweli kabisa. Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha.
Ndo maana wanasema mambo ya Mungu ni ya mambo ya Imani, lakini haikuzuii mtu kutumia akili au sayansi katika mambo yako. Vyote vinaweza kufanya kazi pamoja.
Ni kweli. Na kama pia umesema Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo basi kuwepo kwa shetani duniani ni mpango wake!😀😀😀😀Hapana, mpaka pale sayansi itakapothibitisha kuwa Mungu wa miujiza hayupo ndo imani juu ya Mungu itakuwa imepingana na sayansi. Kumbuka wanaoamini katika Mungu hasa kwenye ukristo na uislamu mfano, huamini kuwa Mungu yupo toka milele anajua yote lakini sayansi haijui yote, kila baada ya muda fulani ndo wanasayansi wanakuwa wamepiga hatua fulani katika kufanya uvumbuzi. Sayansi inakua lakini Mungu hana cha kuongeza anajua yote from beginning.
Hii ni kweli kabisa. Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha.
Ndo maana wanasema mambo ya Mungu ni ya mambo ya Imani, lakini haikuzuii mtu kutumia akili au sayansi katika mambo yako. Vyote vinaweza kufanya kazi pamoja.
Hakika aise,Read between the lines brother. Unajisumbua na homosexual person utakesha kutetea. Watu wana hasira na uwepo wa Mungu kwa kuwa amekataza hayo mambo yao.
𝐼 𝑠𝑎𝑖𝑑 𝑏𝑒𝑓𝑜𝑟𝑒, ℎ𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑘𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛𝑖𝑐 𝑝𝑜𝑠𝑠𝑒𝑠𝑖𝑜𝑛, 𝑠𝑜 𝑛𝑖𝑡𝑎𝑒𝑙𝑒𝑧𝑒𝑎𝑗𝑒 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑘𝑖𝑠𝑖𝑐ℎ𝑜𝑘𝑢𝑤𝑒𝑝𝑜?
Brother I don't need to convince you anything, I just want you to open your eyes and acknowledge that evolution doesn't explain alot of things and it doesn't make sense.😂😂😂bro I didn't say accident we unachofanya Unanipa two options...black n white..accident au god did it...why unanifunga..my answer is I don't know...even if ni Mungu kweli...u still have a long way to go kuniconvince huyo Mungu ni mwanaume mwenye feelings anayejibu maombi anayefuatilia watu Wanamwaga wapi etc, more importantly bado unasafari ndefu kuprove kwamba dini yako wewe ni ya ukweli...coz it's easy kwa kila dini kusema Mungu wake ndo kaumba ulimwengu afu pia religions say mbingu na ardhi...they didn't know abt universe sijui star system cjui gravity...so unachofanya unamove goalposts... kubali dini yako ni false Accord to it's account of creation maana umetaja BigBang cjui which is nowhere in the bible or Quran
Sasa kumbe unabishana mpaka kuhusu vitu ambavyo huvijui?...It is not my job kujua kila kitu ..ila ukisema demons haya wat is next
.how do we study it..how do we prevent it..how do u know the difference between demons n other mental stuff... how do you treat it .n.k ukishaweka supernatural beliefs ni kama guesses tu husulilishi chochote Bora nikubali sijui afu ndo tuanze kufuatilia tujue tatizo ni Nini na suluhisho ni Nini...tatizo watu wa dini mnapenda easy answers sijui god did it...au ni mashetani tu..n.k ndo maana mnaitwa low minded people...coz hamtaki kufikiria nje ya superstition
Kama mkoloni angeanza kutawala bila dini uwezekano wa kufeli ulikuwa mkubwaNa mbona kulikuwa kuna vita kama za maji maji na ile ya mkwawa na merere. Je , huoni dini ilikuokoa kuanza na kipigo direct?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Rafiki nimehudumu makanisani sana, sadaka asilimia kubwa makanisa mengi yanafaidisha watumishi, kujenga mahekalu na kuongeza ufahari. Kiasi kidogo sana ndo huenda kwa wahitaji. Makanisa mengi hayana bajeti ya kutoa misaada kwa jamii. Kidg kanisa kama Katoliki naona wanajenga vyuo, mahospitali na mahoteli.Sijasema naamini ila nimekupa mfano makanisa haya yanavyovuna pesa nyingi kwa watu wakubwa. Sasa wewe kumbe hujui hata sadaka zinafanya nini umemezeshwa vijiweni. Sadaka zinatumika asilimia kubwa kwa wahitaji sio kwamba kuna chumba Mungu anakuja kuchukua. Pia ni hazina ya kanisa hata likitokea jambo lolote linanyooka kiurahisi kama usafiri wa kanisa. Uandaaji wa mikutano na vitu vingine. Mashule yaliyojengwa na makanisa ni mangapi? Mahospitali yako mangapi? Au unadhani kanisa ni diambond linapotoa msaada liite wasafi tv kukutangazia limetoa wapi na kwa nani. Mkristo wa kweli hawezi kutangaza nimempa fulani msaada wa kiasi fulani ila hiyo hesabu ingia kanisani wanatoaga.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwa nini Yesu afe kwa ajili ya wengine wkt mnaamini ni Mungu na anaweza yote? kwa nini asitamke tu na dhambi zikaondoka zote? kwa nini bado dhambi zipo wkt alikufa ili kuziondoa?Huu uhai ni wa muda tu ndo maan Yesu alipigiliwa misumari ila akafufuka kuonesha using'ang'ane na haya maisha sana sababu kuna maisha ya milele huko mbeleni. Hujiulizi kwanini Paul kawahi lishwa sumu na akapona ila still akafa baadae baada ya Mungu kumchukua alipomaliza huduma yake.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mkuu rejea nilichokua nakujibu, naona haya maelezo yako unachanganya madawa!Hivi wewe unaelewa hata maana ya mtu kuwa na dini? Sasa kiongozi wa dini nd maana ake ana dini au? Waliomshtaki Yesu hawakuwa viongozi wa dini? Hakuna mtu aliejuu katika dini zaidi ya Mungu sio kiongozi wa dini wala mtu yyte. Unadhani kwenye mpira kwanini kocha ambae ni kiongozi akipotosha mifumo wanamtimua haraka sana. Hata serikalini tu kiongozi anaweza geuka na kuwa muuaji je akikutwa na hatia inabidi aachwe?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
hizo stories za kutoa kwenye kitabu cha masimulizi sioni ka zina mantiki...Halafu kuhudhuria kanisani c lazima ati ndo mtu wa dini, wengine ni projects za kuwapiga low minded!Haijalishi we si umesema kuwa kanisani ni low minded people je hao wamejiongezaje? Je waliokuwa wanajenga masinagogi au hekalu la Solomon unahisi walikuwa hawasali? Je Yesu alivokuwa fundi seremala na baba yake waliwezaje na wakati wanasali? Nuhu alijenga saa ngap safina? Waliwezaje kujenga madaraja zamani hizo? Niambie kwanini Paul alimtibu Timothy tumbo kwa kumuandikia dawa kama sayansi ya matibabu hawakufanya watumishi wa Mungu. Kwanini Yesu alitumia fedha na wanafunzi wake kufanya manunuzi kama sayansi haikuepo kwao zaidi ya miujiza tu. Au kwasababu sehemu wameandika aliombea mikate na samaki vikatokea unahisi kila siku ni kuombea chakula kitokee wakati sehemu kibao zimeonesha wakifanya manunuzi. Niambie kuhusu wale wanajimu walioambiwa na Mungu waifuate nyota kumshuhudia Yesu kazaliwa walikuwa na imani gani? Yusuph aliwezaje kuwa mkuu wa majeshi Misri na kufanya biashara ya chakula kwa mataifa mengine. Niambie sayansi ya vipimo na uashi iliyopo kwenye ufunuo wa Yohana alijifunzia wapi?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hoja gani unataka nikujibu ?Jibu kwa hoja
Kwanza umesoma nilicho kiandika ? Kwanini usijibu swali nililo kuuliza unaruka ruka ? Hujaona hoja ?😂Me nimekuambia ni mkana Mungu...again bisha kwa hoja sio kelele