Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

[emoji23][emoji23][emoji23]Bac elimu imesema kuhusu evolution haya iamini....case closed...kalale na achana na Mimi..
We ni kama kasuku, Yani ubongo wako haujishughulishi kudadavua mambo....Kwa hiyo kila kinachoitwa maarifa unabeba kama kilivyo !?? Ndio maana huwa kunakua na maswali kwenye kila jambo, Kama ambavyo na wewe unauliza maswali kuhusu Mungu

Hata wanasayansi wakubwa wanapingana kuhusiana na theories mbali mbali...Kwahiyo unataka mimi nimeze tu kama kasuku me sio tahira kama wewe [emoji16]
 
Hapana, mpaka pale sayansi itakapothibitisha kuwa Mungu wa miujiza hayupo ndo imani juu ya Mungu itakuwa imepingana na sayansi. Kumbuka wanaoamini katika Mungu hasa kwenye ukristo na uislamu mfano, huamini kuwa Mungu yupo toka milele anajua yote lakini sayansi haijui yote, kila baada ya muda fulani ndo wanasayansi wanakuwa wamepiga hatua fulani katika kufanya uvumbuzi. Sayansi inakua lakini Mungu hana cha kuongeza anajua yote from beginning.


Hii ni kweli kabisa. Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha.

Ndo maana wanasema mambo ya Mungu ni ya mambo ya Imani, lakini haikuzuii mtu kutumia akili au sayansi katika mambo yako. Vyote vinaweza kufanya kazi pamoja.
Sayansi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo ilishathibitisha
Hapana, mpaka pale sayansi itakapothibitisha kuwa Mungu wa miujiza hayupo ndo imani juu ya Mungu itakuwa imepingana na sayansi. Kumbuka wanaoamini katika Mungu hasa kwenye ukristo na uislamu mfano, huamini kuwa Mungu yupo toka milele anajua yote lakini sayansi haijui yote, kila baada ya muda fulani ndo wanasayansi wanakuwa wamepiga hatua fulani katika kufanya uvumbuzi. Sayansi inakua lakini Mungu hana cha kuongeza anajua yote from beginning.


Hii ni kweli kabisa. Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha kisayansi uwepo wa Mungu. Kumjua Mungu kunahitaji neema ya Mungu mwenyewe kwa mtu husika lakini pia wanaomsema Mungu hujaribu kutumia physical evidences za matokeo ya kuamini au kutoakuamini kwa binadamu na kukuacha wewe utumie akili ya kuzaliwa kuamini kama wanachosema ni kweli ikiwa umeshawishika moyoni mwako vya kutosha.

Ndo maana wanasema mambo ya Mungu ni ya mambo ya Imani, lakini haikuzuii mtu kutumia akili au sayansi katika mambo yako. Vyote vinaweza kufanya kazi pamoja.
Ni kweli. Na kama pia umesema Mungu anajua kila kitu tangu mwanzo basi kuwepo kwa shetani duniani ni mpango wake!😀😀😀😀
 
𝐼 𝑠𝑎𝑖𝑑 𝑏𝑒𝑓𝑜𝑟𝑒, ℎ𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑘𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛𝑖𝑐 𝑝𝑜𝑠𝑠𝑒𝑠𝑖𝑜𝑛, 𝑠𝑜 𝑛𝑖𝑡𝑎𝑒𝑙𝑒𝑧𝑒𝑎𝑗𝑒 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑘𝑖𝑠𝑖𝑐ℎ𝑜𝑘𝑢𝑤𝑒𝑝𝑜?

Huwezi kusema kwamba hakuna kitu kinaitwa 'kupatwa Kwa Jua' wakati tayari ushataja jina la kitu hicho."

Unadai kwamba hakuna kitu kinaitwa "demonic possession," lakini kisha unatumia neno "demonic possession" kuelezea hali hiyo. Neno ambalo Lina maana kamili yenye kupinga madai yako.

Hii logically haileti maana.
 
😂😂😂bro I didn't say accident we unachofanya Unanipa two options...black n white..accident au god did it...why unanifunga..my answer is I don't know...even if ni Mungu kweli...u still have a long way to go kuniconvince huyo Mungu ni mwanaume mwenye feelings anayejibu maombi anayefuatilia watu Wanamwaga wapi etc, more importantly bado unasafari ndefu kuprove kwamba dini yako wewe ni ya ukweli...coz it's easy kwa kila dini kusema Mungu wake ndo kaumba ulimwengu afu pia religions say mbingu na ardhi...they didn't know abt universe sijui star system cjui gravity...so unachofanya unamove goalposts... kubali dini yako ni false Accord to it's account of creation maana umetaja BigBang cjui which is nowhere in the bible or Quran
Brother I don't need to convince you anything, I just want you to open your eyes and acknowledge that evolution doesn't explain alot of things and it doesn't make sense.
 
It is not my job kujua kila kitu ..ila ukisema demons haya wat is next
.how do we study it..how do we prevent it..how do u know the difference between demons n other mental stuff... how do you treat it .n.k ukishaweka supernatural beliefs ni kama guesses tu husulilishi chochote Bora nikubali sijui afu ndo tuanze kufuatilia tujue tatizo ni Nini na suluhisho ni Nini...tatizo watu wa dini mnapenda easy answers sijui god did it...au ni mashetani tu..n.k ndo maana mnaitwa low minded people...coz hamtaki kufikiria nje ya superstition
Sasa kumbe unabishana mpaka kuhusu vitu ambavyo huvijui?...

kama hujui how you can study it,..ni uzembe wako mwenyewe,..unamlaumu nani sasa?

Kama High-minded people ndiyo mnakua hivyo Bora nibaki nikiwa kilaza.

Be humble bro ujifunze,..
 
Mkuu Jumong S na wengineo hebu icheki hii.

Ukiwa na akili kubwa unao uwezo wa kuingia kwenye dini, bila kuondoa chochoote. In fact hao utakaowaita 'highly minded pipo' ndio wamejaa sasa kwenye dini.

Maana katika mageuko (evolution, hahaa ulidhani wote walioingia kwenye dini wameipruni away, jidanganye) hii hali ya kuamini bila ushahidi kamili ni sifa ya viumbe waliofuzu kiakili zaidi.

Kina ng'ombe hawanaga mambo ya imani, sijui kuwazika wafu wao. Maana akili zao ni ndogo.

Nisiongee sana, acha picha ikupe tafakuri
Screenshot_20231117-190837_Chrome.jpg
 
Sijasema naamini ila nimekupa mfano makanisa haya yanavyovuna pesa nyingi kwa watu wakubwa. Sasa wewe kumbe hujui hata sadaka zinafanya nini umemezeshwa vijiweni. Sadaka zinatumika asilimia kubwa kwa wahitaji sio kwamba kuna chumba Mungu anakuja kuchukua. Pia ni hazina ya kanisa hata likitokea jambo lolote linanyooka kiurahisi kama usafiri wa kanisa. Uandaaji wa mikutano na vitu vingine. Mashule yaliyojengwa na makanisa ni mangapi? Mahospitali yako mangapi? Au unadhani kanisa ni diambond linapotoa msaada liite wasafi tv kukutangazia limetoa wapi na kwa nani. Mkristo wa kweli hawezi kutangaza nimempa fulani msaada wa kiasi fulani ila hiyo hesabu ingia kanisani wanatoaga.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Rafiki nimehudumu makanisani sana, sadaka asilimia kubwa makanisa mengi yanafaidisha watumishi, kujenga mahekalu na kuongeza ufahari. Kiasi kidogo sana ndo huenda kwa wahitaji. Makanisa mengi hayana bajeti ya kutoa misaada kwa jamii. Kidg kanisa kama Katoliki naona wanajenga vyuo, mahospitali na mahoteli.
 
Huu uhai ni wa muda tu ndo maan Yesu alipigiliwa misumari ila akafufuka kuonesha using'ang'ane na haya maisha sana sababu kuna maisha ya milele huko mbeleni. Hujiulizi kwanini Paul kawahi lishwa sumu na akapona ila still akafa baadae baada ya Mungu kumchukua alipomaliza huduma yake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwa nini Yesu afe kwa ajili ya wengine wkt mnaamini ni Mungu na anaweza yote? kwa nini asitamke tu na dhambi zikaondoka zote? kwa nini bado dhambi zipo wkt alikufa ili kuziondoa?

Hakiki unachoamini
 
Hawa watoto wanaojidai kua wanasayansi uchwara hawana lolote na hawajui kitu. Hao wanaowaamini kua wanasayansi wenyewe wanamwamini Kuna Mungu. Mbongo katoka bush huko na kielim kake au anajiona katoka familia Ina kipato kidogo et HAKUNA MUNGU...! Una akili kweli wee? Ngoja yakukute siku utasanda.
 
Iwe umepita njia Gani au dini Gani nothing exist without origin? Huwez kupita eneo hakuna watu Wala chochote ukute nyumba akili Yako finyu ikuambie hio nyumba imejitokeza. Nyie ttzo lenu mmekosa kusudi la maisha na hamjui mumuendee nani ndomana mnafikia huko. Baki hvyo hivyo ujikute siku unataka kufa uone Hilo tumaini utalitoa wap
 
Hivi wewe unaelewa hata maana ya mtu kuwa na dini? Sasa kiongozi wa dini nd maana ake ana dini au? Waliomshtaki Yesu hawakuwa viongozi wa dini? Hakuna mtu aliejuu katika dini zaidi ya Mungu sio kiongozi wa dini wala mtu yyte. Unadhani kwenye mpira kwanini kocha ambae ni kiongozi akipotosha mifumo wanamtimua haraka sana. Hata serikalini tu kiongozi anaweza geuka na kuwa muuaji je akikutwa na hatia inabidi aachwe?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mkuu rejea nilichokua nakujibu, naona haya maelezo yako unachanganya madawa!
 
Haijalishi we si umesema kuwa kanisani ni low minded people je hao wamejiongezaje? Je waliokuwa wanajenga masinagogi au hekalu la Solomon unahisi walikuwa hawasali? Je Yesu alivokuwa fundi seremala na baba yake waliwezaje na wakati wanasali? Nuhu alijenga saa ngap safina? Waliwezaje kujenga madaraja zamani hizo? Niambie kwanini Paul alimtibu Timothy tumbo kwa kumuandikia dawa kama sayansi ya matibabu hawakufanya watumishi wa Mungu. Kwanini Yesu alitumia fedha na wanafunzi wake kufanya manunuzi kama sayansi haikuepo kwao zaidi ya miujiza tu. Au kwasababu sehemu wameandika aliombea mikate na samaki vikatokea unahisi kila siku ni kuombea chakula kitokee wakati sehemu kibao zimeonesha wakifanya manunuzi. Niambie kuhusu wale wanajimu walioambiwa na Mungu waifuate nyota kumshuhudia Yesu kazaliwa walikuwa na imani gani? Yusuph aliwezaje kuwa mkuu wa majeshi Misri na kufanya biashara ya chakula kwa mataifa mengine. Niambie sayansi ya vipimo na uashi iliyopo kwenye ufunuo wa Yohana alijifunzia wapi?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
hizo stories za kutoa kwenye kitabu cha masimulizi sioni ka zina mantiki...Halafu kuhudhuria kanisani c lazima ati ndo mtu wa dini, wengine ni projects za kuwapiga low minded!
 
So, nikikusanya vitabu vya Bekket, Abbort, Manser na kile cha Obama tayari inakua ni Biblia?
 
😂Me nimekuambia ni mkana Mungu...again bisha kwa hoja sio kelele
Kwanza umesoma nilicho kiandika ? Kwanini usijibu swali nililo kuuliza unaruka ruka ? Hujaona hoja ?

Mpaka muda huu sijaona hoja yenu Wala hamtakuja kuwa na hoja.

Unaposema wewe ni mkana Mungu, yanajulikana kutoka kwako mambo haya yafuatayo :

1. Una matatizo ya akili
2. Unafikiria kitoto
3. Sio mtafiti
4. Hutafakari

Sasa twende kwa hoja, na ujibu kila swali nitakalo kuulializa.

Kwanini unadai hakuna Mungu, muda ambao hakuna kitu chochote ambacho kipo wazi zaidi kwa uwepo wake kuliko Mungu Muumba wa mbingu na ardhi, hata uwepo wako wewe hauzidi uwazi wa uwepo wa Allah.
 
Back
Top Bottom