Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Hii umeitoa wapi mkuu?

Kichwani mwako au kwa mujibu wa scriptures za dini? Au uliwasiliana na Mungu akakwambia?
Ni Mungu kaniambia,..achana na hizo scripture zimeandikwa kifilosofia mno kiasi kwamba mtu wa kawaida huwezi elewa!
 
Kula chuma hichoooo!!
1702669163768.jpg
 
Unataka kusema marais tulionao wafuasi wa dini ni low minded, vipi kuhusu madaktari, tena tuna madaktari wa dini/dhehebu fulani nao ni low minded sio ma genius?
Kwa hiyo umeona marais ndo wana akili???

Mind u, wengine wapo kwa dini just for projects
 
Kam hutajali mkuu naomba ufafanuzi.... how did God told you?
how did God told u-How did God tell you (ukishatumia auxiliary verb like Do/Did/done usibasilishe main verb)
 
Huu ni ukweli mimi sipingi ila kiafrika hizi dini zina mchango mkubwa sana na kuna baadhi ya koo na makabila yanaishi kitumwa mno.

Lakini kupitia hizi dini angalau watu wanaelimika
 
Huu ni ukweli mimi sipingi ila kiafrika hizi dini zina mchango mkubwa sana na kuna baadhi ya koo na makabila yanaishi kitumwa mno.

Lakini kupitia hizi dini angalau watu wanaelimika
Kutoka kwenye utumwa wa MTU mweusi kwenda kwa utumwa mweupe.

Swala la muhimu Kwa jamii yetu ni kupata elimu safi
 
Back
Top Bottom