kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,470
- 1,352
Mtu ni Energy,..hivyo hafi..Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu ni Energy,..hivyo hafi..Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Mtu ni Energy,..hivyo hafi..
umeambiwa hao hawaamini dini, maana yake wana high minded na ni ma genius
Ni Mungu kaniambia,..achana na hizo scripture zimeandikwa kifilosofia mno kiasi kwamba mtu wa kawaida huwezi elewa!Hii umeitoa wapi mkuu?
Kichwani mwako au kwa mujibu wa scriptures za dini? Au uliwasiliana na Mungu akakwambia?
Ni Mungu kaniambia,..achana na hizo scripture zimeandikwa kifilosofia mno kiasi kwamba mtu wa kawaida huwezi elewa!
God told me through internal voice,....another way God talk to people is through Imagination,animals,people etc.Kam hutajali mkuu naomba ufafanuzi.... how did God told you?
Nyote ni wajinga!!we roboti mbona unanitolea povu namna hii? Unajua maana ya dini ?
Stupidy!!Kumbe unakubali kwamba mahubiri haya ni uongo, ila tunakomaa nayo tu ili tuonekane tuna msimamo?
Kwa hiyo umeona marais ndo wana akili???Unataka kusema marais tulionao wafuasi wa dini ni low minded, vipi kuhusu madaktari, tena tuna madaktari wa dini/dhehebu fulani nao ni low minded sio ma genius?
Kutoka kwenye utumwa wa MTU mweusi kwenda kwa utumwa mweupe.Huu ni ukweli mimi sipingi ila kiafrika hizi dini zina mchango mkubwa sana na kuna baadhi ya koo na makabila yanaishi kitumwa mno.
Lakini kupitia hizi dini angalau watu wanaelimika