Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] kwamba mwamba baadae akaanza kuvizia watu na kuwapokonya vitu.
 
View attachment 1643040
Kamuulize huyu[emoji115][emoji115][emoji115]
Mmm wamempamba na kumfanya aonekane kama Bwabwa..



Picha mbili muonekano tafauti
Picha ya kwanza ya Yesu ilichorwa huko Syria..



Yesu alikuwa Myahudi,Wayahudi Kwa muonekano hawana tafauti na Warabu..

Picha ya chini ni Picha iliyotolewa ya million nyingi iko karibuni katika kila Nyumba ya Mkristo ni Picha ya Mzungu ilichorwa mwaka 1941 na mchoraji huko MAREKANI..


Ipi Picha ya Yesu wa kweli hapo?..
 
Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..

Uislam haukatazi,kwenda popote pale..

Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
Wewe jamaa unaelewa lakini?
Umesema uislam unakataza kutawala mtu nikakuomba ushahidi unaniambia story kuhusu waislam wa wapi walifanya nini miaka hiyo...nikakuuliza je Ottoman empire haikutawala?Hujajibu.

Kwahyo tukiona shoga muislam tuseme uislam unaruhusu ushoga?
Tofautisha matendo ya watu(waislam) na uislam

Sasa turudi palepale umesema Uislam unakataza kutawala mtu una ushahidi?(Quran au hadith)


Halafu bonus question: umesema uislam haukatazi mtu kwenda popote kwani kutawala ni kukataza mtu kwenda popote tu? Haya je! Kwanini nchi za kiislam wanawake hawaruhusiwi kutembea au kusafiri bila ruhusa ya wanaume mpaka wengi wanatoroka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1643040
Kamuulize huyu[emoji115][emoji115][emoji115]
Daaa! pole sana Mkuu Baba, U 2+ manake siyo Siyo swali !! sijakuuliza neno lolote hapo, bali nimekupa maelezo!

By the way!! huyu Bwana kuba si Mkaka yake Mohamad SAW? wote asili yao Vatican, then wakazaliwa Middle East ya leo. wakawa wakombozi wenu mpaka leo mnawalilia na kuwakumbuka kila tarehe 25/ ya kila mwaka na kuwaabudu,

Huyu bwana ktk Quran Imemtanabaisha kama Isa Bin Mariamu!! kama mimi muongo muulize Shekhe wako nguli jioni ukitoka Msikitini kutawaza, au MAALIMU yeyote alosoma visomo vyote! kwa upole siyo kwa matusi kama hapa!

But nakuomba na kukuombea uingie japo kidoogo tu kanisani Popote lilipo uone! hata mimi nilishaga ingia Msikitini lkn sikuona tofauti, zaidi walinichangia hela nyingi sana zenye kukidhi haja zangu, nikawashukuru sana tena sana, isipokuwa kitu kimoja cha ajabu kilijitokeza mbele ya Hadhara, unataka kujua ni nini hicho.... itaendelea
 
Kuowa Wanawake WANNE,kutomwacha mke KUTEMBEA peke yake,hizo zote ni moja ya njia za Uislam KUMLINDA mwanamke..

Maswala yako, unanifanya nikushangae

Unaishi maisha ya Sasa,karne ya DIGITALI, fikiria karne za nyuma,karne za UJAHILI

Karne za Baba ANAMTUPA mwanae Jangwani halafu anarudi maskani anahadithia marafiki zake Kwa kijisifu

Soma comments,kabla ya kukurupuka kujibu,bila ya kujua Kwanini hiyo comment imejibiwa hivyo..

Kuhusu kwenda popote jamaa aliuliza kama Uislam inakataza kwenda MARS..

Jibu lake ni kwamba Uislam haumkatazi Binaadamu kwenda Popote pale..

Uislam Unampa Ujasiri Binaadamu, ATEMBEE, ACHUNGUZE, AULIZE kwani kufanya hivyo kutamzidishia kufahamu uwepo wa MUNGU..

KAPISH..?!
 
Naona hunielewi kabisa napoteza ATP tu.....Basi mkuu yaishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana waislam wote humu jf pia wasiijue
Wamesema hawaijui?au wewe tu ndo ignorance yako?
Acha kujiabisha na kunipotezea muda.
Tena ukiifatilia hii hadith utagundua mtume alinunua mtumwa mmoja kwa watumwa weusi wawili meaning mweusi thamani yake ndogo.
Hata kichwa cha habari cha hadith kinaonesha kuwa wanyama wanatofautiana quality na mnyama(binadamu mweusi,Muafrika)Thamani yake ni ndogo

Sahih Muslim 1602 book 22 hadith 152

Chapter23: The permissibility of selling animals for animals of the same kind and of different quality

"
There came a slave and pledg- ed allegiance to Allah's Apostle (ﷺ) on migration; he (the Holy Prophet) did not know that he was a slave. Then there came his master and demanded him back, whereupon Allah's Apostle (ﷺ) said: Sell him to me. And he bought him for two black slaves, and he did not afterwards take allegiance from anyone until he had asked him whether he was a slave (or a free man)"




Sasa mkuu acha uvivu,fanya research maana kwa style hii hata nikiweka aya ya Quran utaikataa kama huitambui na haitakusaidia chochote na wala haibadilishi yaliyoandikwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kuingia kwa wasanii endeleeni tu kuigiza, mkutano mbele ya safari.[emoji106]
 
Hataweza kujibu, ni mvivu hawezi kutafuta informations zozote kwasababu ya uvivu wa kusoma

Ndio asili yao
 
Huu ni ukweli mtupu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…