Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmm wamempamba na kumfanya aonekane kama Bwabwa..View attachment 1643040
Kamuulize huyu[emoji115][emoji115][emoji115]
Wewe jamaa unaelewa lakini?Wazanzibari walimwita Mwarabu awalinde na Wareno,ambao walikuwa Wakristo..
Uislam haukatazi,kwenda popote pale..
Uislam unaamini kuwa kila Binaadamu anapotembea na kutafuta ndio anapopata kujua na kuona uwezo wake Mungu
Daaa! pole sana Mkuu Baba, U 2+ manake siyo Siyo swali !! sijakuuliza neno lolote hapo, bali nimekupa maelezo!View attachment 1643040
Kamuulize huyu[emoji115][emoji115][emoji115]
Kuowa Wanawake WANNE,kutomwacha mke KUTEMBEA peke yake,hizo zote ni moja ya njia za Uislam KUMLINDA mwanamke..Wewe jamaa unaelewa lakini?
Umesema uislam unakataza kutawala mtu nikakuomba ushahidi unaniambia story kuhusu waislam wa wapi walifanya nini miaka hiyo...nikakuuliza je Ottoman empire haikutawala?Hujajibu.
Kwahyo tukiona shoga muislam tuseme uislam unaruhusu ushoga?
Tofautisha matendo ya watu(waislam) na uislam
Sasa turudi palepale umesema Uislam unakataza kutawala mtu una ushahidi?(Quran au hadith)
Halafu bonus question: umesema uislam haukatazi mtu kwenda popote kwani kutawala ni kukataza mtu kwenda popote tu? Haya je! Kwanini nchi za kiislam wanawake hawaruhusiwi kutembea au kusafiri bila ruhusa ya wanaume mpaka wengi wanatoroka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hunielewi kabisa napoteza ATP tu.....Basi mkuu yaisheKuowa Wanawake WANNE,kutomwacha mke KUTEMBEA peke yake,hizo zote ni moja ya njia za Uislam KUMLINDA mwanamke..
Maswala yako, unanifanya nikushangae
Unaishi maisha ya Sasa,karne ya DIGITALI, fikiria karne za nyuma,karne za UJAHILI
Karne za Baba ANAMTUPA mwanae Jangwani halafu anarudi maskani anahadithia marafiki zake Kwa kijisifu
Soma comments,kabla ya kukurupuka kujibu,bila ya kujua Kwanini hiyo comment imejibiwa hivyo..
Kuhusu kwenda popote jamaa aliuliza kama Uislam inakataza kwenda MARS..
Jibu lake ni kwamba Uislam haumkatazi Binaadamu kwenda Popote pale..
Uislam Unampa Ujasiri Binaadamu, ATEMBEE, ACHUNGUZE, AULIZE kwani kufanya hivyo kutamzidishia kufahamu uwepo wa MUNGU..
KAPISH..?!
Ha ha ha ha!
Good boy
Inamaana waislam wote humu jf pia wasiijueKama wewe hujui usiongelee waiskam wote...Not all muslims are ignorant na uzuri refrence ya hadith nimeweka
Wamesema hawaijui?au wewe tu ndo ignorance yako?Inamaana waislam wote humu jf pia wasiijue
Ninaongezea kwa kusema kwamba, Uislamu unakataza pia ugaidiKwahyo tukiona shoga muislam tuseme uislam unaruhusu ushoga?
Tofautisha matendo ya watu(waislam) na uislam
Mimi pia ninapenda sana kujifunza kuhusiana na hiliKwanini nchi za kiislam wanawake hawaruhusiwi kutembea au kusafiri bila ruhusa ya wanaume mpaka wengi wanatoroka?
Kwa ushahidi upi au unahisi tuNinaongezea kwa kusema kwamba, Uislamu unakataza pia ugaidi
Thibitisha, tuoneshe panapokataza.Ninaongezea kwa kusema kwamba, Uislamu unakataza pia ugaidi
Uislam = UgaidiIlikua inateka watu
Siwezi kuingia kwa wasanii endeleeni tu kuigiza, mkutano mbele ya safari.[emoji106]Daaa! pole sana Mkuu Baba, U 2+ manake siyo Siyo swali !! sijakuuliza neno lolote hapo, bali nimekupa maelezo!
By the way!! huyu Bwana kuba si Mkaka yake Mohamad SAW? wote asili yao Vatican, then wakazaliwa Middle East ya leo. wakawa wakombozi wenu mpaka leo mnawalilia na kuwakumbuka kila tarehe 25/ ya kila mwaka na kuwaabudu,
Huyu bwana ktk Quran Imemtanabaisha kama Isa Bin Mariamu!! kama mimi muongo muulize Shekhe wako nguli jioni ukitoka Msikitini kutawaza, au MAALIMU yeyote alosoma visomo vyote! kwa upole siyo kwa matusi kama hapa!
But nakuomba na kukuombea uingie japo kidoogo tu kanisani Popote lilipo uone! hata mimi nilishaga ingia Msikitini lkn sikuona tofauti, zaidi walinichangia hela nyingi sana zenye kukidhi haja zangu, nikawashukuru sana tena sana, isipokuwa kitu kimoja cha ajabu kilijitokeza mbele ya Hadhara, unataka kujua ni nini hicho.... itaendelea
Hataweza kujibu, ni mvivu hawezi kutafuta informations zozote kwasababu ya uvivu wa kusomaHapa wewe ndo unaleta Udini...Sijaweka Wikipedia hata moja hapo na hizo zote ni Muslim Sources(nilijua nikiweka historical sources nje ya islamic scholars hata kama zina evidence mngezikataa)...Mashehe wamefanya Research.
Mimi nimeaproach hii mada kisomi na kihistoria zaidi wewe unaleta story za Sira yani umebase kidini zaidi.
Inshort wewe ni incompetent na ni muoga.
Haya hiyo Sira uliyosoma inasema Muhammad kabla hajawa nabii alikuwa anafanya kazi gani??
nijibu hili usiruke ruke
Huu ni ukweli mtupu...!Huu huu uislamu wa boko haramu,al shaabab ,isis n.k dini safi!??? Hawa watu wakiwa kwenye mihadhara ya watu changanyikeni huhubiri uislamu ni dini ya amani lkn deep inside wanahubiri kuwakata shingo wale wote wasioamnini katika uislamu kwa hiyo watu wengi katika kipindi hicho cha nyuma waliamini kuepuka kuchinjwa