Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Nilikuwa nakuheshimu sana humu jamvini, am sorry to say this "I no longer respect you" so popote nitakapokuona umeandika ujinga sitokuacha.
who cares, kila habari ingekuwa inatafutiwa majibu huko quora majukwaa yote humu jf yangefungwa. Mda mwengine muwe tu mnakubali kukosolewa pia.
 
kila habari ingekuwa inatafutiwa majibu huko quora majukwaa yote humu jf yangefungwa.
Tatizo lako ni hujui kitu alafu unajikuta mjuzi.
Humu kuna majukwaa mengi tu ambayo source ya habari zake hadi majibu yake yanatoka kwenye hizo platforms!

Quora ni special kwa ajili ya kuuliza maswali tu!
Hichi kilichoulizwa hapa kilishaulizwa Quora mara nyingi sana so there's lots of answers there.
Mda mwengine muwe tu mnakubali kukosolewa pia.
Huwezi na hutakuja kuupata uwezo wa kunikosea cause you own wank opinions.
 
sawa
 
Niweke avatar la kipuuzi kama lako ee? Una matatizo sana kama umeanza kutamani katuni basi kimbia haraka ukamuone Daktari wa saikolojia.
Sasa hivyo avatar ya kike inakusaidia nini mkuu?
 
Quora ni special kwa ajili ya kuuliza maswali tu!
Hichi kilichoulizwa hapa kilishaulizwa Quora mara nyingi sana so there's lots of answers there.
Kama wewe unaijua hiyo Quora ndio unalazimisha kila mtu aifahamu? Au kuna dada yako mrembo anafanya kazi huko?
 
Tatizo nyie waislamu huwa mla kasumba ya kiburi, malalamiko, roho mbaya. na mengineyo

Any way najua kwasababu ya historia yenu kwamba ni watoto wa Mjakazi kwahiyo masononeko hayaishi

Back to the matter: Majibu yako ya jazba yanasababishwa na nini??? acha makasiriko
 
Sio kweli, umeandika vitu usivyovijua. Sauli ndio Paul aliyekuwa Towashi na ambaye alikuwa katili sana ila baadae akawa Mkristo na mwanzilishi na mwenezi wa makanisa sehemu mbalimbali
Umeona ata biblia yenyewe huijui, nani kakwambia kwenye biblia Sauli ni mmoja tu? nakufundisha siku nyingine utachekwa, Mfalme wa kwanza kwa Waisrael aliitwa SAULI, huyu alipakwa mafuta na nabii Samweli akawa Mfalme kwa Waisrael , huyu Alipewa kazi ya KUWAUA Amaleki wote asibaki hai ata mnyama wao, sasa alipomuacha Mfalme Agagi na wanyama walionana, ndio ufalme ukaota mbawa na akapewa bwana mmoja wa kuitwa Daudi mwana wa Yese, hivyo kama ni Mauaji Yehova kapitisha mengi, soma Acha kuhadithiwa tuu ( reference 1 Samuel 15:1-26)
 
Ata wayahudi walifanywa, watumwa na wamisri, waliteseka sana na walikufa sana, miaka karibia 400 sio mchezo, ajabuu iko wapi wengine kulalamika wanapoona mambo hayaendi Sawa! !
 
Hahah huyu jamaa kwel ndo dini imeingia...yaani unaamini kabisa kuna siku ya mwisho Mungu atakuja na genge la mabikra kutupeleka sehemu yenye mito ya pombe na masoko ya malaya?Sehem ambayo tutakuwa na vivulana efmoja vya kutumikisha?Aaaagh! kama Mungu yupo Sio Allah(Saw)
 
Sasa mkuu mapovu kama yote eti "amemkejeli" mtume wakati vyote alivyosema katoa kwenye Hadith,sira,Quran. Basi wewe ukiletewa barua usimshambulie mjumbe alieileta barua mshambulie aliendika huo ujumbe.
Kwahyo shambulia sources alizoleta jamaa kuwa zinamkejeli mtume(swala amwehu wa salam)
 
Jamaa analeta sources za kuaminika za kiislam kuback up his claims wewe unaleta ngonjera za "hoo huna inalojua kwioo"
 
Ata wayahudi walifanywa, watumwa na wamisri, waliteseka sana na walikufa sana, miaka karibia 400 sio mchezo, ajabuu iko wapi wengine kulalamika wanapoona mambo hayaendi Sawa! !
Tatizo amemu-attack Mtoa mada bila sababu ya msingi angeliweza kujibu kistaarabu na ujumbe ukafika
 
Hio hadith uijue wewe tu Waislamu dunia nzima wasiijue
Mkuu kama hujui kitu usiseme watu wote duniani hawajui...nikusaidie kuna website ya hadith za sahih muslim inaitwa sunnah.com
Google hiyo hadith au chukua maneno machache kwenye hiyo hadith yaweke google then utapata majibu kutoka website za kiislam.
Huwa kuna njia tatu za waislam kukataa hadith.
1.Hiyo hadith haipo umetunga(unamuonesha kuwa ipo)
2.Sawa ipo ila sio sahih(unamuonesha ni sahih)
3.Sawa lakini hujaangalia context(unamuonesha context)
4.Kwanza mimi siamini katika hadith

Mkuu ondoka kwenye hii predictable circle
 
Tatizo nyie waislamu huwa mla kasumba ya kiburi, malalamiko, roho mbaya. na mengineyo
Pole sana kiongozi kati ya wapambania Ukristo humu jamvini naweza kuwa mtu wa 7 kati ya 10.
Nafahamu na naheshimu kuna legends zaidi yangu.

2013 huyu mtu ni habari nyingine lukwangul huyu ni mzee wa amsha amsha, Citizen B huyu ni mtema moto.

Mimi sio Abdool kina abdool ni hawa Jurjani Gavana n.k na ninawaheshimu kwa sababu ni smart people.
Any way najua kwasababu ya historia yenu kwamba ni watoto wa Mjakazi kwahiyo masononeko hayaishi
Wanakuja kujibu vitukuu wa Hajra.
Back to the matter: Majibu yako ya jazba yanasababishwa na nini??? acha makasiriko
Infantry sio muelewa, nimewahi kuwa na ubishani endlessly na Faiza, ielewemitaa Mokaze n.k lakini hawa watu ni waelewa sana wakielekezwa kwa facts.

Huyu jamaa dini hazijui anazivamia tu
 
Infantry sio muelewa, nimewahi kuwa na ubishani endlessly na Faiza, @ielewemitaa @Mokaze n.k lakini hawa watu ni waelewa sana wakielekezwa kwa facts.

Huyu jamaa dini hazijui anazivamia tu
Mimi sio muelewa kwa sababu majibu yangu hayaifurahishi nafsi yako?
 
Huyo mjazakazi si Mungu alimridhia kama slivyomrifhia Beth Sheba kuwa mke mjane wa Daudi mama yake Sulemani ? Daudi alipompeleka mume wa Beth Sheba vitani ili auliwe na kumpata YEYE huyo mwanamke? Hivi kwa nini mnasema Yesu ni ukoo wa Sulemani wakati inajulikana wazi kuwa Wayahudi hufuata ukoo kwa baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…