Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Niweke avatar la kipuuzi kama lako ee? Una matatizo sana kama umeanza kutamani katuni basi kimbia haraka ukamuone Daktari wa saikolojia.Mkuu, basi ondoa hiyo avatar yako imekaa ki-dada dada sana mpaka unatamanisha. Weka picha nyingine