Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

Nilikuwa nakuheshimu sana humu jamvini, am sorry to say this "I no longer respect you" so popote nitakapokuona umeandika ujinga sitokuacha.
who cares, kila habari ingekuwa inatafutiwa majibu huko quora majukwaa yote humu jf yangefungwa. Mda mwengine muwe tu mnakubali kukosolewa pia.
 
kila habari ingekuwa inatafutiwa majibu huko quora majukwaa yote humu jf yangefungwa.
Tatizo lako ni hujui kitu alafu unajikuta mjuzi.
Humu kuna majukwaa mengi tu ambayo source ya habari zake hadi majibu yake yanatoka kwenye hizo platforms!

Quora ni special kwa ajili ya kuuliza maswali tu!
Hichi kilichoulizwa hapa kilishaulizwa Quora mara nyingi sana so there's lots of answers there.
Mda mwengine muwe tu mnakubali kukosolewa pia.
Huwezi na hutakuja kuupata uwezo wa kunikosea cause you own wank opinions.
 
Tatizo lako ni hujui kitu alafu unajikuta mjuzi.
Humu kuna majukwaa mengi tu ambayo source ya habari zake hadi majibu yake yanatoka kwenye hizo platforms!

Quora ni special kwa ajili ya kuuliza maswali tu!
Hichi kilichoulizwa hapa kilishaulizwa Quora mara nyingi sana so there's lots of answers there.

Huwezi na hutakuja kuupata uwezo wa kunikosea cause you own wank opinions.
sawa
 
Quora ni special kwa ajili ya kuuliza maswali tu!
Hichi kilichoulizwa hapa kilishaulizwa Quora mara nyingi sana so there's lots of answers there.
Kama wewe unaijua hiyo Quora ndio unalazimisha kila mtu aifahamu? Au kuna dada yako mrembo anafanya kazi huko?
 
Excuse my language bwana infantry, sijui ndio unataka kuonekana ni mchunguzi au unajua sana vitu humu jamvini au unataka umaarufu usio na tija kwa ID fake IDK.

Kuna mitandao kibao sana ingeweza kukusaidia tena kwa njia isiyokuwa na shaka na mfano Quora hichi unachokiuliza kilishaulizwa kule miaka mingi sana.

Na hata nikiweka ufafanuzi hapa nakuhakikishia nitatoa 98% ya majibu kule, please vitu vingine kavisome kule ambako watu ni magwiji wa historia ya Africa na wengine wanaishi hizo nchi.
Ahsante.
Tatizo nyie waislamu huwa mla kasumba ya kiburi, malalamiko, roho mbaya. na mengineyo

Any way najua kwasababu ya historia yenu kwamba ni watoto wa Mjakazi kwahiyo masononeko hayaishi

Back to the matter: Majibu yako ya jazba yanasababishwa na nini??? acha makasiriko
 
Sio kweli, umeandika vitu usivyovijua. Sauli ndio Paul aliyekuwa Towashi na ambaye alikuwa katili sana ila baadae akawa Mkristo na mwanzilishi na mwenezi wa makanisa sehemu mbalimbali
Umeona ata biblia yenyewe huijui, nani kakwambia kwenye biblia Sauli ni mmoja tu? nakufundisha siku nyingine utachekwa, Mfalme wa kwanza kwa Waisrael aliitwa SAULI, huyu alipakwa mafuta na nabii Samweli akawa Mfalme kwa Waisrael , huyu Alipewa kazi ya KUWAUA Amaleki wote asibaki hai ata mnyama wao, sasa alipomuacha Mfalme Agagi na wanyama walionana, ndio ufalme ukaota mbawa na akapewa bwana mmoja wa kuitwa Daudi mwana wa Yese, hivyo kama ni Mauaji Yehova kapitisha mengi, soma Acha kuhadithiwa tuu ( reference 1 Samuel 15:1-26)
 
Tatizo nyie waislamu huwa mla kasumba ya kiburi, malalamiko, roho mbaya. na mengineyo

Any way najua kwasababu ya historia yenu kwamba ni watoto wa Mjakazi kwahiyo masononeko hayaishi

Back to the matter: Majibu yako ya jazba yanasababishwa na nini??? acha makasiriko
Ata wayahudi walifanywa, watumwa na wamisri, waliteseka sana na walikufa sana, miaka karibia 400 sio mchezo, ajabuu iko wapi wengine kulalamika wanapoona mambo hayaendi Sawa! !
 
Unajua gharama ya kuwakejeli mitume wamungu,usikichukulie poa kitendo kama hiko kinagharama kubwa San mbele zamungu, kumbuka siku hazigand ipo siku itafika, utakuta a namola wako halaf majuto yako haya takua na faida tena mbele zake nakama unaona siku ziko mbali kufika kumbuka hazigand, Maan tunaambiwa watu weng San tutapon WA naiman siku ya mwisho, tuleteane kejeli sisi kwasisi lakin sio mitume wa mungu
Hahah huyu jamaa kwel ndo dini imeingia...yaani unaamini kabisa kuna siku ya mwisho Mungu atakuja na genge la mabikra kutupeleka sehemu yenye mito ya pombe na masoko ya malaya?Sehem ambayo tutakuwa na vivulana efmoja vya kutumikisha?Aaaagh! kama Mungu yupo Sio Allah(Saw)
 
Zina kuhusu nn naww sio muislam? Hasa kikuhangaishacho ww nini? Mbona tunaishi kwaaman2 waislam na wakristo hiv nikianza kumkejeli yes nawakat najua fiki nimtume wangu hiv kesho mm kwamungu nitajibu nini au kwasababu naafya njema najua sitakufa nakukutana namola Wang,, angalia San usinisahau acha mchezo namanabii wa mungu ipo siku itafika utajuata San na hiki kiherehere chako hakitakusaidia lolote mungu nimkali najana adhabu kali San sio kwamuislam wala kwamkristo
Sasa mkuu mapovu kama yote eti "amemkejeli" mtume wakati vyote alivyosema katoa kwenye Hadith,sira,Quran. Basi wewe ukiletewa barua usimshambulie mjumbe alieileta barua mshambulie aliendika huo ujumbe.
Kwahyo shambulia sources alizoleta jamaa kuwa zinamkejeli mtume(swala amwehu wa salam)
 
Huna unachojua ww isipokua nukudandia dandia mambo yasio kuhusu habar zamaka we unazijulia wapi, au unaokotaokota maneno unakuja hapa bila kua naelim yahayo mambo mm siujui ukristo halaf naanza kuleta ujuaji mbele ya wakristo siitakua mm nimpumbavu kabisa nisie naakili Maan wenye ukristo wao wataniona chiz
Jamaa analeta sources za kuaminika za kiislam kuback up his claims wewe unaleta ngonjera za "hoo huna inalojua kwioo"
 
Hio hadith uijue wewe tu Waislamu dunia nzima wasiijue
Mkuu kama hujui kitu usiseme watu wote duniani hawajui...nikusaidie kuna website ya hadith za sahih muslim inaitwa sunnah.com
Google hiyo hadith au chukua maneno machache kwenye hiyo hadith yaweke google then utapata majibu kutoka website za kiislam.
Huwa kuna njia tatu za waislam kukataa hadith.
1.Hiyo hadith haipo umetunga(unamuonesha kuwa ipo)
2.Sawa ipo ila sio sahih(unamuonesha ni sahih)
3.Sawa lakini hujaangalia context(unamuonesha context)
4.Kwanza mimi siamini katika hadith

Mkuu ondoka kwenye hii predictable circle
 
Tatizo nyie waislamu huwa mla kasumba ya kiburi, malalamiko, roho mbaya. na mengineyo
Pole sana kiongozi kati ya wapambania Ukristo humu jamvini naweza kuwa mtu wa 7 kati ya 10.
Nafahamu na naheshimu kuna legends zaidi yangu.

2013 huyu mtu ni habari nyingine lukwangul huyu ni mzee wa amsha amsha, Citizen B huyu ni mtema moto.

Mimi sio Abdool kina abdool ni hawa Jurjani Gavana n.k na ninawaheshimu kwa sababu ni smart people.
Any way najua kwasababu ya historia yenu kwamba ni watoto wa Mjakazi kwahiyo masononeko hayaishi
Wanakuja kujibu vitukuu wa Hajra.
Back to the matter: Majibu yako ya jazba yanasababishwa na nini??? acha makasiriko
Infantry sio muelewa, nimewahi kuwa na ubishani endlessly na Faiza, ielewemitaa Mokaze n.k lakini hawa watu ni waelewa sana wakielekezwa kwa facts.

Huyu jamaa dini hazijui anazivamia tu
 
Infantry sio muelewa, nimewahi kuwa na ubishani endlessly na Faiza, @ielewemitaa @Mokaze n.k lakini hawa watu ni waelewa sana wakielekezwa kwa facts.

Huyu jamaa dini hazijui anazivamia tu
Mimi sio muelewa kwa sababu majibu yangu hayaifurahishi nafsi yako?
 
Tatizo nyie waislamu huwa mla kasumba ya kiburi, malalamiko, roho mbaya. na mengineyo

Any way najua kwasababu ya historia yenu kwamba ni watoto wa Mjakazi kwahiyo masononeko hayaishi

Back to the matter: Majibu yako ya jazba yanasababishwa na nini??? acha makasiriko
Huyo mjazakazi si Mungu alimridhia kama slivyomrifhia Beth Sheba kuwa mke mjane wa Daudi mama yake Sulemani ? Daudi alipompeleka mume wa Beth Sheba vitani ili auliwe na kumpata YEYE huyo mwanamke? Hivi kwa nini mnasema Yesu ni ukoo wa Sulemani wakati inajulikana wazi kuwa Wayahudi hufuata ukoo kwa baba?
 
Back
Top Bottom