Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

Embu jibu acha kukwepa
Ulishawahi kusikia binadamu anagawana Mali za uizi (ngawira) na mungu wake ? Zaidi ya Muhammad?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
Hamna swali hapo.jibu nikwamba yesu nifundi kapenta wewe unamuita mungu😁😁mungu anachonga vitanda?🤣🤣🤣🤣🤣
 
toa sadaka moja kwa moja kwa Wahitaji kama mafukara, masikini na mayatima
Kama ni kusaidia watu bora matajiri watoe kwa mashirika binafsi yasiyo ya kanisa kwa wahitaji tu.....kanisa bado linawapiga mayatima kwa kufungua vituo vya watoto yatima na walemavu pia.

Au tajiri asomeshe watoto wa kaya maskini.
 
Kwenye Uislamu ibada zote malipo yake mbinguni, masheikh na maimamu wote wana kazi zao za kuendesha maisha yao, hakuna mtu anaeishi kwa sadaka na zaka.
Hii nzuri wanaamini katika pepo na ahera
 
Kwanu

Wanaogombea msikiti wanaogombea Nini kama Sio pesa
wapihuko kwanza hatataarifa hizo Sina ila nazani itakuwa wanagombania eneo sio sadaka.
ukiristo nibiashara kama biashara zingine☹️☹️☹️☹️
 
Isipo toa michango sasa hivi huzikwi na padre.
 
Rudi home kambatize mwenyewe kwani si unaonaga jinsi Padre anafanya?

Au ingia YouTube cheki some tutorials kisha maliza mchongo.

Kufanya iwe impressive zaidi unairekodi kabisa halafu unampelekea flash Padre ili akupe cheti cha ubatizo.

Akisema wewe hautakiwi kubatiza mwambie akasome Marko 9:23 inasema yote yawezekana kwa imani
 
Hizo pesa hali askofu ni kwa ajili ya kuprint cheti,ubwabwa,soda,mc,turubai,vitu,mapambo,maji,picha,nk Tena Mara moja Kwa maisha yake yote.
Hio pesa hata bia ulewi
 
wapihuko kwanza hatataarifa hizo Sina ila nazani itakuwa wanagombania eneo sio sadaka.
ukiristo nibiashara kama biashara zingine☹️☹️☹️☹️
Wiki iliyopita mwanza
 
Isipo toa michango sasa hivi huzikwi na padre.
Unaweza ukanithibitishia hili?stick kwenye hoja yako mezani unatafuta attention uhamishe mada?

Hayo tumekuwa tukiyasikia kwenu ninyi msioijua imani miaka na miaka lakini Mkatoliki wa kweli anajua akifanya nini hastahili maziko ya Kanisa asipofanya nini anastahili maziko ya Kanisa so wewe hunisumbui.
 
Hizo pesa hali askofu ni kwa ajili ya kuprint cheti,ubwabwa,soda,mc,turubai,vitu,mapambo,maji,picha,nk Tena Mara moja Kwa maisha yake yote.
Hio pesa hata bia ulewi
Unakuta umeingia kwenye ibada Kanisa limejaa kumbe wengine ni kama hawa wanaongeza tu idadi ya waumini hakuna kitu.

Mwambie pia siyo kila mtu amejaaliwa kuwa na hiyo hela yeye akiitoa inamsaidia yule asiyekuwa nacho which is ni baraka pia kwake lakini leo Kanisa Lina muumini analalamika kujitoa sadaka na anajiita muumini.
 
Kazi ya viongozi wa dini ni kama madalali wa kuunganisha waumini kwenda mbinguni/peponi, sasa wewe unataka kusafiri bila kulipa nauli!?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hamna swali hapo.jibu nikwamba yesu nifundi kapenta wewe unamuita mungu😁😁mungu anachonga vitanda?🤣🤣🤣🤣🤣
Ujumbe umeshaupata unapindisha tu ku kuona so , mtume aliwaingiza chaka

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
 
Ujumbe umeshaupata unapindisha tu ku kuona so , mtume aliwaingiza chaka

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
kapenta family🤣🤣🤣😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…