kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ukristu ukiisha, waliozoea kula sadaka itakuwaje? Kulia na kusaga meno.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna swali hapo.jibu nikwamba yesu nifundi kapenta wewe unamuita mungu😁😁mungu anachonga vitanda?🤣🤣🤣🤣🤣Embu jibu acha kukwepa
Ulishawahi kusikia binadamu anagawana Mali za uizi (ngawira) na mungu wake ? Zaidi ya Muhammad?
Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
Kama ni kusaidia watu bora matajiri watoe kwa mashirika binafsi yasiyo ya kanisa kwa wahitaji tu.....kanisa bado linawapiga mayatima kwa kufungua vituo vya watoto yatima na walemavu pia.toa sadaka moja kwa moja kwa Wahitaji kama mafukara, masikini na mayatima
wapihuko kwanza hatataarifa hizo Sina ila nazani itakuwa wanagombania eneo sio sadaka.Kwanu
Wanaogombea msikiti wanaogombea Nini kama Sio pesa
Isipo toa michango sasa hivi huzikwi na padre.Hapana siyo kiingilio hiyo hata isipotolewa still tukio litafanyika hiyo huwa wanatoa wale wenye uwezo wasiokuwa na uwezo nao watashiriki pamoja,hilo ni tukio la jamii siyo vyema mtoto huyu apigwe picha yule asipigwe picha kisa alikosa 5,000/= ya mpiga picha.
Hiyo pesa unakuta ipo included pamoja na picha za matukio so tu-assume mtoto wa huyu bwana kama angekuwa na uwezo akatoa hiyo hela atapigwa picha 10 ni 10K,sahani ya chakula weka 7K hiyo 8K yupo mzazi hana uwezo ingembeba kwenye picha za mwanae nae afurahi.
Wiki iliyopita mwanzawapihuko kwanza hatataarifa hizo Sina ila nazani itakuwa wanagombania eneo sio sadaka.
ukiristo nibiashara kama biashara zingine☹️☹️☹️☹️
Walikua wanagombania nini?Wiki iliyopita mwanza
Unaweza ukanithibitishia hili?stick kwenye hoja yako mezani unatafuta attention uhamishe mada?Isipo toa michango sasa hivi huzikwi na padre.
Unazikwa na naniIsipo toa michango sasa hivi huzikwi na padre.
Unakuta umeingia kwenye ibada Kanisa limejaa kumbe wengine ni kama hawa wanaongeza tu idadi ya waumini hakuna kitu.Hizo pesa hali askofu ni kwa ajili ya kuprint cheti,ubwabwa,soda,mc,turubai,vitu,mapambo,maji,picha,nk Tena Mara moja Kwa maisha yake yote.
Hio pesa hata bia ulewi
Kazi ya viongozi wa dini ni kama madalali wa kuunganisha waumini kwenda mbinguni/peponi, sasa wewe unataka kusafiri bila kulipa nauli!?Salaam!
Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu.
Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi wetu wanatuletea mapicha picha ya kutufanya sisi ni misukule yao.
Nimejiuliza swali moja tu mimi kama baba mlezi mtoto alifika hatua ya kipaimara, nikaambiwa eti nitoe shilingi elfu 25,000 ili mtoto akae pamoja na askofu. Yaani yeye askofu anakuja kukaa na watoto hiyo siku ya kipaimara wanakula pale sahani ya wali na soda na stori mbili tatu afu imeisha hiyo. Mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini? Mamichango ya zaka ni lundo.
Kidogo nisahau kuuliza hili swali?
Hivi wakuu na huko kwenye uislamu ni hivi hivi?
Ujumbe umeshaupata unapindisha tu ku kuona so , mtume aliwaingiza chakaHamna swali hapo.jibu nikwamba yesu nifundi kapenta wewe unamuita mungu😁😁mungu anachonga vitanda?🤣🤣🤣🤣🤣
kapenta family🤣🤣🤣😁😁😁Ujumbe umeshaupata unapindisha tu ku kuona so , mtume aliwaingiza chaka
Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....
Mbona wengi mnatoa mifano ya bar!? Kwani wakatoliki wote wanaenda bar kunywa?25k unapiga kelele humu ,hata hiko kipaimara watu watashiba kweli?
Ukienda bar unatumbua kreti kadhaa za bia kwa kuwapa watu offer.
Bia bia biaaaaaHio pesa hata bia ulewi