Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

kamhudumie kipenzi chako mtume[emoji16][emoji16].

mwenyewe unagalagazwa unaanzaje kugalagaz mtu.
kahudumie mumeo Nisha kuambia.ukiendelea Kuni quote nitakutongoza hat kama wewe nimwanamke wakikafirina
 
Kuhani musa kumuona tsh.100,000😎
 
Kwenye Uislam hakutakiwi tena kumekatazwa Misikiti kufanyiwa biashara lakini siku hizi kuna watu wachache wanaigeuza biashara. Tamaa inajiingiza kila mahali.

Misikiti ina afadhali kwani hakuna michango na sadaka za lazima. Wapo wanaopitisha kofia baada ya salat na wapo wanaotangaza michango aina mbali mbali, lakini yote hiyo ni ulaji wao na ujinga wao tu.

Hakuna biashara misikitini na hakuna sababu ya kuchangishana chochote.

Utakuta msikiti una nyumba ya/za wakfu imekodishwa halafu bado wanatembeza mchango wa kulipia bill ya maji au wa kununuwa umeme, ni ujinga tu.
 
ndio mana nikasema mumejikita kibiashara mnabisha nini Sasa?
Sisi hatutegemei misaada kutoka uko kwa waarabu kama ninyi

Kama msikiti mnaeneo kubwa mnashindwa kujenga ata day care ili watoto wapate elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…