Uzi haukuwa na maelezo yanayomhusu mtume.Mkuu hiki tunachojadili sioni kuwa na mchango katika huu uzi.
Tungeweza kujadili hivyo ila kama msingeleta kashfa za Atheists ni mashogaTungejadili tu ni vp atheism inasambaa kuliko wewe atheist kubishana mambo ya hadith.
Hizo aya wewe umezisoma?Soma ayah kama hutaki basi nimekujinu kama ulivyotaka.
😅😅Umesoma ? Kila ayah kweny Qur an inafuatwa kama ilivyo ....Huo ndio muongozoHakuna maelezo hayo kwenye Quran unaleta ubishi usiokuwa na maana yeyote
Kinachoendelea ni ubishani kuhusu mambo ya hadithi hali inayofanya mada kubadilika kabisa.Uzi haukuwa na maelezo yanayomhusu mtume.
Ila tumefika hapa kwasababu ya watu wa dini ambao walikuwa wanatoa kashfa hasi kwa ku generalize Atheists wote.
Kusema Atheists ni mashoga ni kashfa mbaya.
Na mimi nilichokifanya sikutaka nijibu kwa kashfa bali nitoe nukuu za ushahidi wa hadithi za kiislamu kuelezea stori za mtume ambazo hazipo sawa kimaadili.
Hizo ni nukuu sio maoni yangu
Nilitaka muone na nyinyi ni jinsi gani inavyokuwa kuitwa shoga.
Unakwenda kupotea nnauhakika watu wengi hawajui namna dini ilivyotengenezewa propaganda ili watu kuhalalisha namna wao wanavyotaka ulimwengu uendeI will soon declare to be an atheist!
Wapi waislamu wamepigana vita kwa kuanzisha wao...Kumbuka uislamu ulikuwepo hata Mussa alipigwa vita ,Issah(S.A) alitaka kuuliwa kabisa....Muhamad alipigwa mawe mpaka kutona meno ya mbele.uislam umeenezwa kwa kumwaga damu.
Na unajua kwanini wanabisha?Kinachoendelea ni ubishani kuhusu mambo ya hadithi hali inayofanya mada kubadilika kabisa.
Mkuu sijui umepanic nini kwa jambo kama hilo wakati atheists humu huwezi kujadiliana nao bila kukebehi na kukashifu dini na Mungu, ni kitu ambacho kimezoeleka. Atheists kuwadharau na kuwaona waumini wa dini kuwa hawana akili ni jambo la kawaida kwao ila wao atheists ndio wenye akili na elimu.Tungeweza kujadili hivyo ila kama msingeleta kashfa za Atheists ni mashoga
Kudharauliwa akili ni tofauti na kuambiwa shoga.Mkuu sijui umepanic nini kwa jambo kama hilo wakati atheists humu huwezi kujadiliana nao bila kukebehi na kukashifu dini na Mungu, ni kitu ambacho kimezoeleka. Atheists kuwadharau na kuwaona waumini wa dini kuwa hawana akili ni jambo la kawaida kwao ila wao atheists ndio wenye akili na elimu.
Ndio maana mwanzo nilikwambia kama kuna mambo ambayo sio mazuri yaliyofanywa na Mtume na waislamu wenyewe wanaona ni fedheha basi yangefichwa hayo mambo ili yasijulikane pengine wewe usingejua.Na unajua kwanini wanabisha?
Unafikiri hadithi ingekuwa inaelezea jambo jema la mtume wangebisha?
Wanabisha kwasababu wanajua ni fedheha
Na ndio maana hata yule aliyesema haoni tatizo mtume kuingiza mdomo kwa mwanaume mwenzake,,,, bado hawezi kujibu kama yeye anaweza kufanya kitendo hicho na mwanaume mwenzake.
Kuomambiwa shoga wakati hamjuani si sawa na mtu kukwambia hauna akili kisa unaamini Mungu, na mbaya zaidi anaweza kumtukana hadi huyo Mungu si anajua unamuheshimu lazima utachukia tu. Lakini haya wewe mkuu kwa upande wako unayaona ya kawaida ila kuambiwa shoga kwa sababu umeambiwa wewe ndio unaona issue.Kudharauliwa akili ni tofauti na kuambiwa shoga.
Ukali wa maneno ndio unaoleta ukakasi.
Uislamu umeanza na ujio wa Muhammad. Mwanamke wa kwanza kuwa muislamu ni Khadija na mwanaume wa kwanza ni Abu Bakr (ukimtoa mtume)Wapi waislamu wamepigana vita kwa kuanzisha wao...Kumbuka uislamu ulikuwepo hata Mussa alipigwa vita ,Issah(S.A) alitaka kuuliwa kabisa....Muhamad alipigwa mawe mpaka kutona meno ya mbele.
Kama ingekuwa umeanza kwa upanda walikuta jamii za washirikina wakiwa na dini zao haswa watawala...Rejea Farao kwa Mussa
Unafikiri wenye mamlaka ya kuzuia watu wasiweze kusoma hizo hadithi ni wao hao wasiopenda watu wajue?Ndio maana mwanzo nilikwambia kama kuna mambo ambayo sio mazuri yaliyofanywa na Mtume na waislamu wenyewe wanaona ni fedheha basi yangefichwa hayo mambo ili yasijulikane pengine wewe usingejua.
Kuambiwa huna akili na kuitwa shoga uzito wa maneno haufananiKuomambiwa shoga wakati hamjuani si sawa na mtu kukwambia hauna akili kisa unaamini Mungu, na mbaya zaidi anaweza kumtukana hadi huyo Mungu si anajua unamuheshimu lazima utachukia tu. Lakini haya wewe mkuu kwa upande wako unayaona ya kawaida ila kuambiwa shoga kwa sababu umeambiwa wewe ndio unaona issue.
Zimewekwa na nani?Unafikiri wenye mamlaka ya kuzuia watu wasiweze kusoma hizo hadithi ni wao hao wasiopenda watu wajue?
Unafikiri hizo stori zimewekwa na hao waislamu ambao wanapinga hizo stori?
Huo ushoga wapo wenye kuutetea humu hivyo ukiwaita mashoga sio issue kwao ila hakuna anayekubali kuambiwa hana akili kisa ameamini uwepo wa Mungu na kuna muda mnamkejeli hadi huyo Mungu, ni dharau kiasi kikubwa kutoka kwenu kuwafanyia wenye kuamini Mungu.Kuambiwa huna akili na kuitwa shoga uzito wa maneno haufanani
Na watu ambao hawaoni tatizo kuongea ukweliZimewekwa na nani?
Kwako wewe mtu atayemuita Muhammed hana akili litakuwa ni tusi kubwa litakalo kuuma sana, kuliko yule mtu atayemuita Muhammed shoga kwasababu tu watu wamekuwa wakitetea ushoga na kufanua jambo lionekane la kawaida ila hakuna anayekubali kuambiwa hana akili?Huo ushoga wapo wenye kuutetea humu hivyo ukiwaita mashoga sio issue kwao ila hakuna anayekubali kuambiwa hana akili kisa ameamini uwepo wa Mungu na kuna muda mnamkejeli hadi huyo Mungu, ni dharau kiasi kikubwa kutoka kwenu kuwafanyia wenye kuamini Mungu.