Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Tumsubiri tu MangeYani nausubiria kwa hamu ila holaaa...kila nikiona reply ya huu uzi nakuja chap kuchungulia ila hakuna anaejua...
Acha kabisa.hili life my friend acha tu. Nikawaza vitu vingii.
HUyu kutunzwa uzaz itakuaje vitu kama lishe. Okay hiyo kwake mzazi, vipi kuhusu mtoto maziwa.. achana na ishu ndogo ndogo kama maternity pads za angalau kumfanya awe comfortable..
Yupo nyumban wa kumfanyia kazi na usaidiz au ndio 12 inabid kuamka na kuendelea na majukum? Hapo unajaribu kujisahaulisha maumivu ya kuimwa mgogngo na tumbo baada ya kujifungua ambao huchukua muda flan mpaka kurud sawa!. Bas tu!!
Acha tuu..ndo maana natamani kujua why?? Kwanini ajiue..alikua anauwezo wa kupata kila kituTumsubiri tu Mange
Ila roho imeniuma
Kijana mzuri anakufa mapema kizembe[emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeitafuta hii comment kinoma..Freemason wameanza kuchukua sadaka zao🤣
Vifo vya kafara huwa namna hii. Yaani mtu anafanya jambo ili kujiua tuNi Afya ya akili tu alikua anadipresheni
Kuna kipindi alijikata wembe Shingoni alitaka ajiue.Hali ikawa mbaya akalazwa Intensive Care Unit(ICU) naona imeshindikana..
Sadaka hiyo mkuu.Vifo vya kafara huwa namna hii. Yaani mtu anafanya jambo ili kujiua tu
Ile ni alovera mkuu. Hata mwenyewe unaweza kutengenezaNakumbuka nilionjaga dawa ya mbu ile ya kupaka ile Dawa sio tamu kabisa sikufa Ila cha moto nilikiona, rip marehemu nisher
Duh nimeshtuka neno chupi huku msibani✋Kifo ndio njia ya Mbinguni, Je, GeorDavie hataki mwanae atangulie Mbinguni?
Wewe unaweza kupata mtoto bila kuvuliwa chupi?
Hata mimi inanishangaza sanaAcha tuu..ndo maana natamani kujua why?? Kwanini ajiue..alikua anauwezo wa kupata kila kitu
🙆👆Hahaaaaa, kumbe wewe ndio Joyce Mukya?😄😆😂🤣😀
Hata mimi inanishangaza sana
Yaani mtoto wa kishua anapata depression hadi anajiua kweli!
Ingekuwa kapuku kama sisi ambao kula yetu tu ya shida,stress tu si zingemmaliza[emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahh
Kama Avicii vile.Acha ujinga wa kuamini ulozi mkuu. Nchi hii ina watu wa ajabu sana wanaoamini kila kifo au tatizo kuna mkono wa mtu. Kwan Chid Benz ndio wa kwanza kula unga akapata matatizo ya afya ya akili? Kwann useme mtu kalogwa ilhali inajulikana tatizo lake ni unga? Yeyote aaminiye uchawi kwenye kila jambo ni mpumbavu na mpuuzi.
Back to Nisher, jamaa inaonekana alipata msongo mkali wa mawazo. Life is more than money, kuna watu kibao wenye hela lakini wanateswa na mambo mengine km magonjwa, magonjwa ya akili n.k . Ko sa lililofanyika ni kutompeleka Nisher kwa Daktari mzuri mtaalam wa akili ( Psychiatrist)
Gary Speed ( former Wales NT football coach) alihojiwa kwenye TV akaeleza mipango mingi ya timu yake, ila usiku huo akajiua. Alikuwa tajiri kuliko Nisher na hakuonesha dalili yoyote ya depression kumbe jamaa alikuwa anaugulia ndani kwa ndani.
sielewi kabisa, labda unisadie maneno haya huenda ni kisambaa , nitafsirie kwa kiswahili:nikisema wewe nimke wamboe unaelewa nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajajiua, ila Matajiri ndio wanaongoza kwa kujiua kwakuwa wana malengo makubwa ambayo kuyafikia ni ngumu.
Mtoto wa Tajiri ana dream vogue 2023, Dream House Masaki ambapo kwa bei ya chini ni bilioni 3, anataka Mume wa kishua -tena point 3 [half cast], amesoma Political science huko Havard -Mrekani akija Tanzania anakuta makarai kama akina Sabaya na Katambi ndio mabosi zake, watu ambao hata barua hawawezi kuandika na mshahara wa laki 8 lazma ajiondoe uhai.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sielewi kabisa, labda unisadie maneno haya huenda ni kisambaa , nitafsirie kwa kiswahili:
1. nimke.
2. wamboe.
Unachanganya supu na tui la nazi, ugoro na tambuu, unawasha A/C bekary , haieleweki unataka kuelezea hoja gani!yule ni mke wa Rais umeelewa nini?