TANZIA Director Nisher afariki dunia

Usiombe kukutwa na bwana Pepsi ,uliza watu waliopata hayo maswaiba ,siwezi kukubishia maana ni ngumu sana kuamini hayo mambo kama yapo bila kukukuta.
Una uhakika matatizo yako yalitokana na kulogwa au ni ramli zako chonganishi. Acha kutushirikisha na kutulazimisha tuamini ujinga wako wa kufikiri
 
Tafuta Daktari akutibu una majeraha ya ndani....si makosa Yako shukrani sana Kwa kauli chafu ubarikiwe Mkuu .
 
Tafuta Daktari akutibu una majeraha ya ndani....si makosa Yako shukrani sana Kwa kauli chafu ubarikiwe Mkuu .
Sio kauli chafu hakuna penye kauli chafu Ni ukweli usiosemwa na wengi ndio huonekana kauli chafu sababu unauma na huo ndio ukweli, hakuna mwenye majeraha ya ndani labda wewe ndio mwenye majeraha ya ndani ndio maana umeniquote tafuta tiba haraka wenzio wote wamesoma wima wima wakapita kimya kimya wewe na matatizo yako ukaona haitoshi ngoja uniquote jitatulie matatizo yako hapo ulipo Ila ukweli utasemwa tu hata km utakuumiza wewe umia tu yaan endelea kuugulia
 
Wanaficha hawasemi ukweli.

Lakini muda utasema tu.

Ukweli una tabia ya kujidhihirisha kujisimamia bila kutegemea utetezi wowote .

Yule ni Mtoto wa Jamhuri.

Siri huwa ni ya mtu mmoja tu kuzidi hapo huwa sio siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…