TANZIA Director Nisher afariki dunia

Haaaahaaaaa eti watu wote wamepita wima ukijaribu kusema nn labda ...unaogopwa au povu la majeraha linakusumbua katibiwe .....
 
Nisher jamani [emoji3064]
Ungemuonea huruma japo Mama yako
RIP



Kwani amefanyaje yeye?

Kuna vifo vya kujizuru lakini kwa njia ya kujichinja ni ngumu kuamini kuwa mtu ajichinje mwenyewe hadi kukata roho?

Labda watuambie wenye kujua zaidi.

Sababu kujichinja sio kwa kutokea mara moja paaa kama kujipiga risasi au kamba, au kujirusha toka juu ya ghorofa n.k

Kuchinja sizani kama ni rahisi kiivyo labda kwa kuchunjwa nako mmmnh sizani.
 
Mpaka leo sijawahi elewa chanzo cha hiki kifo
Yes, there's something wrong about this tragedy. But our people are there just trying digging deeper and deeper about this issue. Soon we'll be back and giving you the feedback.
 
Reactions: K11

Wakati ufike tujue kilichomuua.
Maana haijasemwa.
 
Jamaa alijiua baada ya kuwa kwenye msongo wa mawazo wa muda mrefu bila kupata msaada sahihi wa kitabibu.
Ni sehemu ya matokeo ya malezi mabovu ya watoto na vijana wa kisasa.
 
Reactions: K11
Jamaa alijiua baada ya kuwa kwenye msongo wa mawazo wa muda mrefu bila kupata msaada sahihi wa kitabibu.
Ni sehemu ya matokeo ya malezi mabovu ya watoto na vijana wa kisasa.


Depression yake ilisababishwa na nini while everything was there.?

Au ni vile hakupewa good support from his family mama and father.


Money ✅
Career✅
Fame ✅

It is pain Kama aliamua kujitoa uhai kisa hayo mambo hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…