Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mama yake ametia huruma sana kwenye mazishi
Inaumiza sana, Mungu awape faraja.
Inaumiza sana, Mungu awape faraja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa tuAlikuwa mbele ya muda sana. Moja kati ya ma Director bora kabisa kuwahi kutokea bongo. Allah amrehemu
Hivi Nisher si ndio alimuoa mwanamke wa kihindi?Mama yake ametia huruma sana kwenye mazishi
Inaumiza sana, Mungu awape faraja.
Ya matamko mkuumsiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Jijini Arusha
Nyumba ya matamko ndiyo nyumba ya namna gani tena?
Haaaahaaaaa eti watu wote wamepita wima ukijaribu kusema nn labda ...unaogopwa au povu la majeraha linakusumbua katibiwe .....Sio kauli chafu hakuna penye kauli chafu Ni ukweli usiosemwa na wengi ndio huonekana kauli chafu sababu unauma na huo ndio ukweli, hakuna mwenye majeraha ya ndani labda wewe ndio mwenye majeraha ya ndani ndio maana umeniquote tafuta tiba haraka wenzio wote wamesoma wima wima wakapita kimya kimya wewe na matatizo yako ukaona haitoshi ngoja uniquote jitatulie matatizo yako hapo ulipo Ila ukweli utasemwa tu hata km utakuumiza wewe umia tu yaan endelea kuugulia
We dada unataka nini kwangu una hamu ya kupapaswa? SikuelewiHaaaahaaaaa eti watu wote wamepita wima ukijaribu kusema nn labda ...unaogopwa au povu la majeraha linakusumbua katibiwe .....
Mpapasane sasa!We dada unataka nini kwangu una hamu ya kupapaswa? Sikuelewi
Nisher jamani [emoji3064]
Ungemuonea huruma japo Mama yako
RIP
lulu za uru njoo nikupapase mdadaMpapasane sasa!
Chanzo cha kifo ni kifo.Mpaka leo sijawahi elewa chanzo cha hiki kifo
Yes, there's something wrong about this tragedy. But our people are there just trying digging deeper and deeper about this issue. Soon we'll be back and giving you the feedback.Mpaka leo sijawahi elewa chanzo cha hiki kifo
View attachment 2840201
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023.
Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa Kijana wao Nisher na kusema msiba unafanyika katika nyumba ya matamko Kisongo Jijini Arusha na kwamba taarifa zaidi zitatolewa baadaye.
---
Aliyekuwa Mwanamuziki, Mwandaaji na Mwongoza Video za Muziki #Tanzania, Nic Davie maarufu #DirectorNisher amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Desemba 12, 2023 huku Familia ikiwa haijaweka wazi chanzo cha kifo chake
Nisher ambaye ni Mtoto wa Mhubiri Geor Davie amewahi kuongoza Video za Wasanii mbalimbali, baadhi ni Weusi, BenPol, (Unanichora & Jikubali), Fid Q (Bongo HipHop), Baraka da Prince (Jichunge) na Young Killer ft. Fid Q (13) na kupata Tuzo ya Chaguo la Watu (Peoples Choice Awards) kama Director Bora wa Mwaka 2014
Alijidhuru baada ya kuona mzee hampi nafasi kama anavyopewa nafasi dada yakeWakati ufike tujue kilichomuua.
Maana haijasemwa.
Jamaa alijiua baada ya kuwa kwenye msongo wa mawazo wa muda mrefu bila kupata msaada sahihi wa kitabibu.
Ni sehemu ya matokeo ya malezi mabovu ya watoto na vijana wa kisasa.