Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Aviccii wa nairobi au??Kama Avicii vile.
Alikuwa famous, pesa anayo lakini akajiua kwa depression.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aviccii wa nairobi au??Kama Avicii vile.
Alikuwa famous, pesa anayo lakini akajiua kwa depression.
Alikuwa DJ producer wa nyimbo za EDM alijiua akiwa OmanAviccii wa nairobi au??
Mabilionea wenyewe wanajiuwaHata mimi inanishangaza sana
Yaani mtoto wa kishua anapata depression hadi anajiua kweli!
Ingekuwa kapuku kama sisi ambao kula yetu tu ya shida,stress tu si zingemmaliza[emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
we mtu, upo?Siyo wewe Mkuu? Jifinye. Joke
Au labda alikuwa anamwona madhabahuni ndo sadaka zinaongezeka.Inawezekana labda aliambiwa mtoto wake katolewa sadaka madhabahuni ndo akapata hiyo depression.
Usiombe kukutwa na bwana Pepsi ,uliza watu waliopata hayo maswaiba ,siwezi kukubishia maana ni ngumu sana kuamini hayo mambo kama yapo bila kukukuta.Acha ujinga wa kuamini ulozi mkuu.
God is good. Nami nafurahi kukuona, nilidhani Shem kakupiga pinwe mtu, upo?
nimefurahi kukuona tena
Una uhakika matatizo yako yalitokana na kulogwa au ni ramli zako chonganishi. Acha kutushirikisha na kutulazimisha tuamini ujinga wako wa kufikiriUsiombe kukutwa na bwana Pepsi ,uliza watu waliopata hayo maswaiba ,siwezi kukubishia maana ni ngumu sana kuamini hayo mambo kama yapo bila kukukuta.
Wala chips na mayonnaise hawawezi kukuelewaUsiombe kukutwa na bwana Pepsi ,uliza watu waliopata hayo maswaiba ,siwezi kukubishia maana ni ngumu sana kuamini hayo mambo kama yapo bila kukukuta.
Tafuta Daktari akutibu una majeraha ya ndani....si makosa Yako shukrani sana Kwa kauli chafu ubarikiwe Mkuu .Waliopoteza watoto wote wangekua washakufa wa kwanza Mimi, ongea tena wahedi Baba yako aliekosea hilo bao angepiga nyeto
Kuna wale wazee wa Arusha waliopoteza watoto wao kwa siku moja walikua watatu sijui wanne wote kwa ajali ya gari ingekua hivyo Si ungesikia wale wazee sasa ni marehemu
Sio kauli chafu hakuna penye kauli chafu Ni ukweli usiosemwa na wengi ndio huonekana kauli chafu sababu unauma na huo ndio ukweli, hakuna mwenye majeraha ya ndani labda wewe ndio mwenye majeraha ya ndani ndio maana umeniquote tafuta tiba haraka wenzio wote wamesoma wima wima wakapita kimya kimya wewe na matatizo yako ukaona haitoshi ngoja uniquote jitatulie matatizo yako hapo ulipo Ila ukweli utasemwa tu hata km utakuumiza wewe umia tu yaan endelea kuuguliaTafuta Daktari akutibu una majeraha ya ndani....si makosa Yako shukrani sana Kwa kauli chafu ubarikiwe Mkuu .
Hata mm nilijua kama wewe.Nilijua NISHER ni wa kike kumbe dume
Sema uzuri wa Wazungu jamaa alikuwa open kuhusu tatizo lake. Kuna kipindi alikuwa anasitisha mpaka matamasha kwa sababu ya depression. May his soul RIPKama Avicii vile.
Alikuwa famous, pesa anayo lakini akajiua kwa depression.