Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Ucwashangae hao wanaofurahi kwa sabab ni kawaida yetu watz kuombeana njaa wanafurahi pale tu mtu anapokuwa chin akipanda juu fitna nyingi
 
mie mzima,........mie mbona siko Mbeya jamani nakomaa na Jiji la Mecky Sadick

ooh sory binamu....nikajua upo mbeya mwenzio....
nilisikia mkasa ulokupata pole sana hata Mimi nakumbana nayo mingi bina yaani acha tu enhe familia iko poa?
 
wewe embu sema hawa jamaa umeanza kuwasikia lini, maana nikilinganisha miaka ambayo hizi njemba zilianza kusikika na huo uwiano wa kipindi hiko upo form 3 hahaha sidhani kama ni mtu mzima wa kiwango hiko

nimeanza kuwasikia tangia mwaka 2004 mkuu, almost ten years have passed, na nilivyokuwa form 3 nilikua 18

now do the math,

NB: USIWE UNAKURUPUKA
 
kusimamishwa
kazi co kufukuzwa,binadamu hajakamilika kwahiyo kama wanatambua makosa
yao wawewaungwa tu wakaombe msamaha kushindana na mwajiri haipendenzi,najua na wao wanajua kua kwa sasa wao ni maarufu lakini bado umaarufu umkuja kupitia CLOUDS Fm,mi
nawapa pole sana
 
ajira ktk makampuni binafsi ni lazima mfanyakazi muda wote roho juu,ndio hivyo tena ukiwa ktk ajira hizo ni lazima uelewe kuwa ndani ya dakika 3 zijazo huna chako.
pole yao kwakweli.
hapo umuhimu wa kujiajili ndio unaonekana
 
Clouds noma sana nakumbuka J2 iliyopita hata Dr. Isaack aliogopa kutaja neno kinega mpaka kwanza akaomba ruhusa kwa ruge kulitaja hilo neno maana mtu teja aliyekuwa anamuhoji aka yake ni kinega,na akasema huyu jamaa jina lake flan aka yake ntakuja kukutajia baadae ndio akampigia simu ruge jamaa anaitwa kinega vp tulitaje hewani? Ruge akamwambia haina noma we litaje.
Hahahahaha hapa nadai change haki ya nani?Kama vile ulikuwa fundi mitambo ukishuudia picha.
 
Redio inayo fanya vizur hapa tanzania kwa kubebwa na umahili wa watangazaji wakal wenye mvuto sasa uenda ikapitotea katika raman ya redio za bongo baada ya kupigwa chini watangazaji wake diva.b 12. Na adamu mchovu. Nikutokana na utov wa nidhamu
Ukiwa na mawazo ya namna hii unaweza kushindwa kufanya kazi na kuendelea, ikumbukwe kwamba anapofukuzwa mtu kwenye organisation wakati mwingine ni fursa ya kupata kichwa kingine kizuri zaidi ya kile pia kwa upande wa waliofukuzwa ni fursa pia ya kupata kazi nyingine nzuri zaidi labda kama wasingefukuzwa wasingepata changamoto ya kutafuta sehemu nyingine. Wao waliikuta radio ina operate na walikuwa hawana uzoefu wa kutosha lakini mwisho wa siku wakajengeka kikazi mpaka majina yao yakakua hivyo kiasi kwamba mpaka wewe unaona kwamba bila wao haiwezekani.

Nakumbuka kuna watu kibao walikuwa hawana mpango wa kwenda kuongeza elimu lakini kutokana na manyanyaso au purukushani za hapa na pale inafikia mahala anaamua aache kazi na kwenda kupiga buku kuepusha shari hivyo basi matatizo kazini kama utayachukulia ni changamoto za kawaida ni fursa kwako kukua na si kweli kwamba ukiondoka ndio basi tena huko ulikotoka kutadorora japokuwa sehemu chache hutokea kudorora kweli
 
Once I said "what goes arround must come down" the time now has finally come.
 
Naamin Adam ataendelea kulima bangi.
Ikiwa kama dhoruba hiyo haijawang'oa Mbwiga na Kibonde, dhoruba hiyo ni dhaifu sana.
Yote kwa yote, Clouds Media imejaa uvundo mwingi.
 
Kufukuzwa kwa hawa ndio chanzo cha ajira kwa wengine, maisha ya kuajiriwa ni sawa na kucheza mpira kuna siku utalia au kucheka, kwa ngu mie naona waachishe tu ili waende kujitegemea kwa kuanzisha vitu vingine ili wale waliomaliza shule nao wapate pa kuanzia, kama walikuwa wanajirusha kama wasanii wa bongo flavoru itakula kwao. Karibu kwenye ujasilimia mali, wazee wa kula kwa mguu, Nawaomba waache uogo waje huku tufanye biashara, waachane na ubisho wa Kwenye TV.
 
OFsi binafsi haihojiwa kwa hatua inazozichikua kama ilivyo serikali. mkurugenzi anaweza akawa anaamka na upuuzi kila siku lakini hakuna wa kumhoji na maamzi yao ni ya mwisho hayahojiwi na chombo chochote. Kwa hiyo hao ndugu bado wanamda wa kufanya mambo mengine binafsi tofauti na kuajiliwa hapo cluods. Si lazimaufanye kazi clouds ila kwa wengine acheni tabia za kuponda huduma zinazo tolewa na vituo vingine kwani hatma ya maisha yenu yako mikononi mwa watu, na mnaishi maisha ambayo siyo ya kwenu mnaiga sana hadi mnapitiliza. bt poleni japo kuwa tulizoea kuwasikia tokea clouds fm.
 
Acha maboya waende watakuja wengine walikuwepo kina chifupa wao nani bwana..............
 
Bora walishajiongeza km B12 ana duka lake la nguo Born2Shine,,,hawez kosa dili na yule Mala.ya kwao kuna hela kwa mzee Malinzi
 
Wafungue kesi mahakamani kuomba swala lao lisijadiliwe mpaka hapo watakapoelezwa makosa yao na kujitetea!!!!

Hahahaaaaaaaa sasa swala lisipojadiriwa si wataendelea kula benchi? Wasimuige lekatutigite mwenzake ana backup ya waliomtuma ambao mihimili yote yao!
 
Bora walishajiongeza km B12 ana duka lake la nguo Born2Shine,,,hawez kosa dili na yule Mala.ya kwao kuna hela kwa mzee Malinzi

Duka la nguo kwa star acha msikhara Altezza kuiweka barabarani kila siku sh 15k,kodi ya nyumba kwa mastar jiwe 3 kwa mwezi na hapo dili za laki laki wanazoongwa na wasanii wawekwe kwenye show na kupigiwa nyimbo zao zimekata hapo lazima uombe poo mtaani kuna njaa sana!!
 
Back
Top Bottom